Mume anahitajika awe tayari kubeba majukumu ya kuwa Baba

Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
wabena wengi ni short chassis/kirikuu
 
Yaani Instagram hawapatoshi.mmeamia na huku? Hebu kuweni serious na threads za watu
 
Naomba unifuate PM ya kwako najaribu inagoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…