Mume anahitajika

utaiona tu..miss yu sana lkn ,naona majukumu ya kulea ndoa si mchezo

Kweli mkuu! Wengine wamepigwa pasi balaa wanakuja tu kujirembesha hapa kumbe chura hamna
 
Siitaji tenamtu anipm it's useless
U never know!.
Kama chaguo lako lipo huku?
Usikatishwe Na maneno ya WATU!
Kumbuka mume/mke hupatkan mazingira tusiyotarajia!.
Don't give up!.
God have a Good plan for U!.
Maneno ya WATU wasikuvunje moyo
Unatakiwa kujua kuwa! Huku Jf tupo people's tofaut!.
Usigome kupokea Pm
 
Wasted of my time
Nope
Unatakiwa kutambua GOD plan!.
Hakuna kitu/jambo linaloenda bure!.
Huwez jua kesho/badaee itakuaje!.

Oky maybe naweza nisiwe husband ako but through me! Nikakusaidia/kupa comfort kipindi ambacho utakuwa umekwama sehemu!?
Don't give up kwa maneno ya kejeli Na kashfa toka kwa watu!.
U have to fight!. Wala usijilaumu!.

Also strong women Huwa anauvumilivu so kama unashindwa vumilia maneno ya people's wa huku! WTF about mikiki ya ndoa? Coz hamuwez kuwa na Aman siku zote lazima itafika stage mtashake!...
Bado unao muda my friend!..!
U never know ure husband!.
Huwez jua naweza kuwa Mimi ndiyo Mmeo!.(Not proudly)

Coz katika life mambo mengi sometimes Huwa yanatokea for suddenly Na kupitia hiyo dharula uweza kutufunza kitu!.

Best wishes My Friend!...
Unatakiwa kujua kuwa
MUNGU wetu KAMWE halali Na Wala HACHOKI KUSIKIA MAOMBI YETU!.
 
Kajambe mbele, et unataka ronaldo , pumbavu.
 
We njo ujambe humu mwone sura mbaya hadi mtoto akikuona anakutania au analia .
Unasura mbaya hadi ukiwa karibu na mtu anashtuka kila mara

My kind of woman, nadhani husband uliyekuwa unamtafuta sasa ushanipata, njoo tupange mashambulizi
 
Mimi hapa nafaa sifa zote ninazo my wife.
Nitakujali na kukuheshimu daima dear.
 
Ndugu yangu mme wa kweli hatafutwi humu Jf, nakushauri kama kweli upo serious waume wa kweli utawapata kwenye katika nyumba za ibada, kama jinsi wewe ulivyosema ukihitaji mme wa kikristo utampata kanisani, kama wewe ni muumini wa kweli huwezi kumkosa, ila kama unfurahisha makala haya unapoteza muda wako.
 
Simbembelezagi mtu nisiyemkosea.

Hyo sifa sina
 
Aisee hizi fursa hizi!!!!!!, ngoja tu niwaachie wengine. kila la kheri
 
Una Mvuto lakini?
Hata lady jay dee hana kivile ila alikuwa na wanawanume mahandsome sasa je acha hizo wewe ndio unahitajika uwe handsome ili hata uweze kumvutia mkeo kidudu hakinaga mvuto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume tulio ma handsome tunapata SHIDA
Mara waseme kimoja chali mara waseme nn

Sifa ninazo but sikufahamu
 
Samahani dada najua unahitaji mume ambae anafanya kazi(hujasema kazi gani) ila me naomba tu niweke bayani kazi yangu; Mimi kazi yangu ni Kuuza Mapambio ya Marehemu(maua na majeneza) kwa hiyo sijui nipitie DM tuanze kujuana?
 
Usipompata wa mvuto umejiandaa na plan b?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…