Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 196
Mchumba hatafutwi hivi ndugu na hususani Mume. Wanaume ni walafi sana. Mume bora hujengwa na wewe mwenyewe. Mime bora utampata kwenye mfumo wako wa maisha, kwenye maisha yako ya kila Siku. Ila, unaweza kuwa na bahati. Jiulize, kwenye mazingira yako ya kasi, mtaani, n.k hujaona au hakuna waliojitokeza? Kama ndivyo, jichunguze wewe.