Mume anahitajika

Mume anahitajika

Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
unachura?au umenyooka km tulia ackson.
 
Hujasema mkiristo dheheb gan au asiwe muislam tu mungine yeyote anaweza kuja hata kama hana dini
 
Please note, halaf tena joking...nmebahatika kuijuia ID yko ya siku zote.
 
Back
Top Bottom