Mume anahitajika

Mume anahitajika

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
116
Reaction score
28
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.
 
Ntakuwekea pm ingawa niko under40!
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.

Aiseee yaani 40yrs still unahitaji mume! Mam we lea mwanao tu, zaidi unatala kujitafutia kimeo. Hapo labda umpate mwanaume aliyefiwa na mkewe halafu ana watoto kama wanne hivi ndiyo aje akuoe kisha muanze maisha halafu uone kimeo cha kulea watoto ambao siyo wako na jinsi watavyokusumbua.

Binafsi sikushauri,
 
Ameelezea adhma yake si mbaya mkamsikiliza kuliko kumshambulia. Labda atueleze mzazi mwenzake waliezaa nae huyo mtoto yuko wapi au ilikuaje kuaje ikawa kama ilivyo sasa hayuko naye.
Funguka Dinam. Huwezi jua mmeo yuko humu jamvini anakusubiria. Umeongea kwa kifupi sana kuliko hata nukta yenyewe
 
nashukuru kwa ushauri ila bado nitamwomba mungu umri sio tija wangapi wanaolewa na umri zaidi ya kwangu na kwa amani tele? msione ajabu kwangu
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.

habari...baba wa mtoto yupo wapi?
 
yupo ila ana familia yake tangu mwanzo
 
yupo na tayari ana familia yake tangu mwanzo sipo nae
 
Wewe ni bikra? Mm natafuta mchumba bikra sijali hata akiwa na watoto wanne.
 
Natumaini wote ni wazima nakuja tena mara ya pili kwa ajili ya kupata mwenza wa maisha. ni mama wa mtoto mmoja 8yrs nipo single bado kwa yeyote anipm nina 40yrs.

Mina miaka 47 na nina watoto wawili niko singo pia je ,Ninafaa Dada?
 
avatar27169_4.gif

Du bora wewe mm nina 67yrs hatanikubali, na naogopa hajaweka vigezo vya umri Elimu, urefu, umri
 
ukikosa wa kukuoa jaribu nyumba ndogo kwa kuni PM
 
Aiseee yaani 40yrs still unahitaji mume! Mam we lea mwanao tu, zaidi unatala kujitafutia kimeo. Hapo labda umpate mwanaume aliyefiwa na mkewe halafu ana watoto kama wanne hivi ndiyo aje akuoe kisha muanze maisha halafu uone kimeo cha kulea watoto ambao siyo wako na jinsi watavyokusumbua.

Binafsi sikushauri,

Bora usimpe ushauri wako! maana nani kakwambia mapenzi yana ukomo kwa misingi ya umri! miaka 40 bado ana hisia za kuwa na mwenza!
 
Back
Top Bottom