Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Usiombe uwe addictive na punyeto.. Itakushika mpaka ikuharibu..

Kuna jamaa anasema akiona lotion au sabuni lazima dushe iende mnara(network search)
 
Ndiyo basi tena huyo, mpaka nguvu zimuishe
 
Jitahidi umpeleke akapate ushauri wa kitaalamu maana akiacha kujichua ndani ya mwezi mmja tu hali itarudi kama kawaida na mechi zote zitakuwa kali.
 
Athari kubwa ya masterbation inasababisha mtu aende mwendo mfupi, ila kama anauwezo wa kurudia itaimarika as days go! Ofcourse akiongeza na misosi haina shida!

Shida ni yeye kuacha masterbation, akiacha mmemaliza tatizo lenu kbs
 
Dada naomba kuuliza hapa kuna faida gani na mwanaume ha provide kwa familiaa, I swear mwanaume ambae hatoi pesa kwny familia yake Nina mkimbia the next day ,kupenda ni kitu gani? Amejitakia maisha ya namna hiyo kwa kua muoga .mkimbie bwana mume gani huyo pesa hakupi and he sucks on bed? Pick a struggle my dear na upige chini Huyo mume suruali una msaidia ww mama ake?
 

Wacha ushauli wa ki ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…