Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

And this is the meaningful of love...
 
Kama wewe unajua basi tambua na wenzio wanajua
 
Naamini na kukubali kila mmoja anaamini katika njia yake.
 
Huyo mke apewe maua yake.
 
Huyo mwanamke ana nafasivya kipekee huko kwa Muumba.

Amejua kumsitiri mume wake.

Miongoni mwa mambk muhimu kwenye ndoa/familia ni Kusitiriana
 
hapa inategemea alikuwa anaishi vipi na mimi kipindi ana pesa alipokuwa nazo
 
Mwanamke anaweza kuwa na milioni 100 haina kazi lakini elfu kumi yako anaipigia mahesabu na unayo hio hio.😂
 
True
 
Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.


View attachment 2940731
Kama utamwambia unapokea kiasi gan utakuwa umechana mkeka maan M1 bado ni nyingi still mwanaume unaeza ukaishi kama vile unapokea tano,unafaa ujue wanawake fedha zao hawafanyii vitu vya msingi ni Kama vile wanaonaga hayawausu kwahiyo we kama mwanaume unaeza mchekecha tu ukazitumia kama vile zako ila wewe usikose chakwako halisi
 
Mwanamke wa hivi ktk wilaya yetu ya kigamboni wanaweza kuwa wanne tu. Hongera yake mwamba
 
Wanawake unaokutana nao ndo hela zao hawafanyii vitu vya msingi.
Wanawake wengi sahizi wanawekeza na wanafungua biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…