Festo Andrews
Member
- Apr 1, 2022
- 23
- 25
Kikawaida nature yetu wanaume tumezaliwa kuwa watawala yaani tunajihisi kuwa na nguvu pale tunapokuwa watawala, sasa ikatokea mwanamke amekuzidi automatically tu utajihisi mdhaifu hivyo hata ile amani ya moyo utakosa nguvu ya kuongea kwa sauti ya mamlaka katika familia utakosa pia hence amani kuwepo itakuwa ni ngumu sana