Mume anatafutwa

cv yako inabidi ianze na neno singo maza usitaje umri elimu wala ajira yako.......
 
😁😁😁 huyu mbabu simtaki
Wacha MADHEREU hakuna mbabu sisi miaka tu ndio imesogea, ila nguvu akili, mikiki, patashika nguo kuchanika ni bado baro baro kabisa.
We mjaribu asipokunogea, mrudishe tutakupa kidume kingine πŸ˜‚
Huyu ana warranty ya miaka 10. JERMAN MASHINE hii πŸ˜‚
 
Mtoto : Mmoja
Mimi ni fundi mchundo, hali ya kipato sio mbaya maana huyo mwenye degree anaweza asinifikie.
Tatizo langu liko hapo kwa mtoto mmoja.
Baba yake yuko wapi?
Mtoto ana umri gani?
Makubaliano yako na mzazi mwenzio yapoje?
Upo tiari kufuata mashariti yangu?
Wastan wa kipaato chako kwa mwezi
 
Dah ubao unasoma 1-0! Hapana kwa kweli. Na hiyo miaka 34 kwa wastani wahuni kama 50 hivi na zaidi pengine watakuwa wameshananii. Acha nitafute kitoto cha 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…