Bi mariam5
Member
- Feb 9, 2024
- 83
- 98
- Thread starter
- #101
Nimekupenda bad lucky mimi sipo SERIOUS [emoji23]
Kila la kheri, mungu akufanyie wepesi.
Only serious fellas are invited bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupenda bad lucky mimi sipo SERIOUS [emoji23]
Kila la kheri, mungu akufanyie wepesi.
Eleza zaidi kuhusu huyo mtoto mmoja
Hivi unawataka wangapi mmoja au 100? Swali hili ni chonganishiNawataka
Kila la heri bidada, japo ungekuja na ID kongwe(kama ipo) ungepata mchuchu chap sana🤣Kila bidhaa ina soko lake , usijali
Kuanzia kesho nitakuwa serious, tutaanzia hapo.Only serious fellas are invited bro
Mkuu chukua mke hapo, tule harusiDuh!
Mmh mimi huyu??Wewe ulishaleta unataka ulete mara ngapi?
Ndio wewe huyu huyu sio mwingine weka bango lingine basi tuchangie madaMmh mimi huyu??
Ukileta ni chap tu Palina, huoni makaveli10 anapiga jaramba hapa🤣Vipi m nikileta langu nitapata ERoni 😁😁😁
Sawa mkuu ngoja tujeNawataka , nimeandika awe Morogoro, ni karibu na Dodoma, so its easy to meet & make a family together
cv yako inabidi ianze na neno singo maza usitaje umri elimu wala ajira yako.......Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Wapi umeona ng'ombe akazeeka maini!🤣😁😁😁 huyu mbabu simtaki
Wacha MADHEREU hakuna mbabu sisi miaka tu ndio imesogea, ila nguvu akili, mikiki, patashika nguo kuchanika ni bado baro baro kabisa.😁😁😁 huyu mbabu simtaki
Huyu mkuu, tukukabidhi wewe, mimi nilionao wananitosha, huyu anakufaa kabisaa ndugu katibu.Ukileta ni chap tu Palina, huoni makaveli10 anapiga jaramba hapa🤣
Mimi ni fundi mchundo, hali ya kipato sio mbaya maana huyo mwenye degree anaweza asinifikie.Mtoto : Mmoja