Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Kwa hizi sifa zako inabidi upate Mwanaume aliyefiwa na mkewe na awe na watoto wanne
 
Uko tayari kwenda na Mimi Bi Mariam??Kwa upande wangu nimelipokea,,,kulisoma,,na kulitafakari kwa kina mnoo takwa lako,,Nipo tayari kuindeleza safari nawe!!tuwasiliane pm,,labda tunaweza pata wasaha wa kufahamiana zaidi na hatimaye kujuana zaidi kama hutojali lakini Bibiee Mariam.
 
Haya ni maoni yako tu, kila bidhaa ina soko lake.
Ni kweli kila bidhaa ina soko lake pia ina bei yake. Unapopanga bei ya bidhaa inatakiwa iendane na quality ya bidhaa husika.
Vigezo vyako viendane na your Sex Market Value.
Miaka 33 plus mtoto juu your SMV is diminished. kusema nataka mwenye hiki na kile iyo nafasi hauna tena competition ni kubwa.
 
Back
Top Bottom