Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

na ndoa hadi kufungwa itachukua muda gani
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Bi Mariam naomba uje PM tufahamiane kwa kirefu,vigezo ninavyo vyote..
 
Masingle faza yanavyomponda single maza sasa 🤣🤣🤣🤣
Nyie bebaneni sisi wenyewe single ladies hatutaki wanaume wenye watoto 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Acha dharau wewe. K haina makombo, anaweza akaipiga MTU akimaliza ikipigwa maji inakua mpya.
Inakuwa mpya wapi? "K" kila ikipigwa inakuwa mdebwedo ndo kilometa hizo mwisho linakuwa shimo tu la kupitisha mkojo! Halifai kwa matumizi mengine!
 
Nilitaka nikuoe, ila kwa kuwa umekujaa na ID mpya nimebadili mawazo, ngoja nipambane tu na hili goma langu.
leo3.jpg
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Aisee mtu single maza alafu masharti mia ishirini kidogo...wee chukua anayepumua tuu. Mwenzio mawardat pamoja na tako skonsi bado anacheza mdako nyumbani kwa wazazi
 
Back
Top Bottom