Bi mariam5
Member
- Feb 9, 2024
- 83
- 98
- Thread starter
- #141
Ni vipi sasa bimariam
Duuuh kwa hio na uchumi uwepo sio unakuja na mavyeti yako ya masters tu?
Yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vipi sasa bimariam
Duuuh kwa hio na uchumi uwepo sio unakuja na mavyeti yako ya masters tu?
Hivi unawataka wangapi mmoja au 100? Swali hili ni chonganishi
Kila la heri bidada, japo ungekuja na ID kongwe(kama ipo) ungepata mchuchu chap sana[emoji1787]
Kuanzia kesho nitakuwa serious, tutaanzia hapo.
Sifa zote ninazo ila daah
Hivi ndio vitakufelisha msimbe na single mazaSifa zangu
Umri : 33
Mtoto : Mmoja
Bi Mariam naomba uje PM tufahamiane kwa kirefu,vigezo ninavyo vyote..Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
🤣🤣🤣🤣🤣brand inalindwa
Inakuwa mpya wapi? "K" kila ikipigwa inakuwa mdebwedo ndo kilometa hizo mwisho linakuwa shimo tu la kupitisha mkojo! Halifai kwa matumizi mengine!Acha dharau wewe. K haina makombo, anaweza akaipiga MTU akimaliza ikipigwa maji inakua mpya.
Mkuu,Maoni yako tu haya
Aisee mtu single maza alafu masharti mia ishirini kidogo...wee chukua anayepumua tuu. Mwenzio mawardat pamoja na tako skonsi bado anacheza mdako nyumbani kwa wazaziHabari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Asante mke mzuri Mariam. Lakini kabla sijaja huko niseme tu hapa hadharani kuwa nakupenda na nakuheshimu.Karibu PM
Kulikoni huwataki wachaga? Kisa nini?Hapana, baba mtoto alihama nchi akatuacha huku na ameshaendelea na maisha yake huko, ngoja na sisi tujitafute. Sio mchaga ni mnyakyusa.
baba atakuwa mchaga na alishindwana ndio mana anaogopa wachagaKwanini usiolewe na baba wa mtoto wako?
walimzalisha kwa kujigonga kwakeKulikoni huwataki wachaga? Kisa nini?