Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Your so bitter, acha ku judge kwa mtazamo wako pekee, kila mtu ana taste yake, competition is everywhere.
Mpaka hapo tayari competition imeshakutoa sokoni. Unatafuta mme mitandaoni kwani huko Mtaani kwako umewakosa? Maana kama hao wanaokuona physically wamekureject inafikirisha sana.
Wewe ni msomi na una kipato komaa kufanya kazi yako and take care of your child hawa wahuni unawatafuta huku mitandaoni wataishia kulala na wewe na kukuacha because your loose, naive and desperate.
(Baada ya hapa nakuja na I'd nyingine pm kukuthibitishia hilo la kuliwa kimasihara.)
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Nipo Dodoma_Kisasa,miaka53ukiniona kama Nina miaka 22!Karibu
 
Aisee mtu single maza alafu masharti mia ishirini kidogo...wee chukua anayepumua tuu. Mwenzio mawardat pamoja na tako skonsi bado anacheza mdako nyumbani kwa wazazi

Hayo ni mawazo yako tu finyu, kamchukue wewe anayepumua tu, that is according to me.
 
Mpaka hapo tayari competition imeshakutoa sokoni. Unatafuta mme mitandaoni kwani huko Mtaani kwako umewakosa? Maana kama hao wanaokuona physically wamekureject inafikirisha sana.
Wewe ni msomi na una kipato komaa kufanya kazi yako and take care of your child hawa wahuni unawatafuta huku mitandaoni wataishia kulala na wewe na kukuacha because your loose, naive and desperate.
(Baada ya hapa nakuja na I'd nyingine pm kukuthibitishia hilo la kuliwa kimasihara.)

Wa mtandaoni ndio hawa hawa wa mtaani, matapeli mtandaoni wapo na mtaani wapo, ne smart.
 
Back
Top Bottom