Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ukimgusa huyu uendi mbinguni!Nilitaka nikuoe, ila kwa kuwa umekujaa na ID mpya nimebadili mawazo, ngoja nipambane tu na hili goma langu.
View attachment 2898878
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimgusa huyu uendi mbinguni!Nilitaka nikuoe, ila kwa kuwa umekujaa na ID mpya nimebadili mawazo, ngoja nipambane tu na hili goma langu.
View attachment 2898878
😘You are most welcome
Mpaka hapo tayari competition imeshakutoa sokoni. Unatafuta mme mitandaoni kwani huko Mtaani kwako umewakosa? Maana kama hao wanaokuona physically wamekureject inafikirisha sana.Your so bitter, acha ku judge kwa mtazamo wako pekee, kila mtu ana taste yake, competition is everywhere.
We Mjinga wa wapi?Hapana sio Makete
Ni kweli anaweza kuwachukia Wachagga wote isipokuwa mmoja tu, mwanae, ambaye pia ni Mchaggamkuu Mbona code nyepesi ku decipher
baba wa mtoto ni mchaga na alimuacha kwa makofi so anamchukia huyo mwamba na wachaga woteee
😂😂😂
Naona km unavyoona wewe hapo we unaonaje?We unaonaje?
KufirwaTako huwa lina kazi gani [emoji15]
Nipo Dodoma_Kisasa,miaka53ukiniona kama Nina miaka 22!KaribuHabari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Hivi ndio vitakufelisha msimbe na single maza
Anyway kila la heri
Bi Mariam naomba uje PM tufahamiane kwa kirefu,vigezo ninavyo vyote..
Inakuwa mpya wapi? "K" kila ikipigwa inakuwa mdebwedo ndo kilometa hizo mwisho linakuwa shimo tu la kupitisha mkojo! Halifai kwa matumizi mengine!
Nashukuru nakuja pm Bi Mariam!!Karibu sana PM, ni heshima kubwa sana kwangu kusikia haya kutoka kwako[emoji1545]
Mkuu,
Mimi natania tu, kila la heri kwenye kutafuta your other half.
Asante mke mzuri Mariam. Lakini kabla sijaja huko niseme tu hapa hadharani kuwa nakupenda na nakuheshimu.
Akili yako ni kubwa sana mkuu.Mara nyingi ni IDs mpya ndo hutafuta wenza humu!
Huwa nawaza sana kama matilaba yao ni ya dhati au la!
baba atakuwa mchaga na alishindwana ndio mana anaogopa wachaga
Mpaka hapo tayari competition imeshakutoa sokoni. Unatafuta mme mitandaoni kwani huko Mtaani kwako umewakosa? Maana kama hao wanaokuona physically wamekureject inafikirisha sana.
Wewe ni msomi na una kipato komaa kufanya kazi yako and take care of your child hawa wahuni unawatafuta huku mitandaoni wataishia kulala na wewe na kukuacha because your loose, naive and desperate.
(Baada ya hapa nakuja na I'd nyingine pm kukuthibitishia hilo la kuliwa kimasihara.)
We Mjinga wa wapi?