mume hatoi unyumba



DC hao wanaume wanao lalama kua mke mmoja hatoshi ndio wale wale wa Kijiweni. Wapo kweli wanaume ambao mwanamke mmoja hatoshi, ila ulimwingu wa sasa idadi ya wanaume ambao ufanisi wao upo chini ya viwango ni wengi kuliko wale ambao wapo within viwango..... Wanawke weeengi kilio chao ni kua wanaume wao hawawaridhishi.... Sijui ni mavyakula or whatever.... ila ukweli unabaki wanaume ambao kweli hawawezi toshelezwa na mwanamke mmoja ni wachache saana, wengi ni tamaa tu....
 
Ila huyu Aminata 9 ni nani? mbona kaingia mitini, ningetaka nimPM namba ya shosti niangalie namna ya kumsaidia

ahahah Kaizer unataka kumpa ushauri gani tena ??
Napata picha utakuwa kama ifuatavyo
Wewe Bibie tatizo lako nini ..unasomeshwa ,,pesa ya kutumia ipo .hebu .maliza elimu yako kwanza mama .yeye akiona cha nini sio twajiuliza tutakipata lini hiki kifaa.
Haya mambo mengine nione mie kwa muda wako nitakusaidia kupunguza hivyo vidudu vidogo vidogo vinavyonyevua
Punguza mawazo bibie haya ni maisha tu..
I am here baby anytime you need me i am available hehe just for you dah only for you mmmmh ...
 


Yaani wewe upo akinili kwangu kabisaaaaaa..... Haya ndio yalipita akilini kwangu, bahati mbaya hadi yalivuka zaidi ya hapo.... lol.... Bora umemlipua! Naamini kwa mtindo huu anaweza tafuta pengine :redface:
 


Hahahahaha,

ADI hapo sasa umenitisha...hivi kweli unaweza kuwasemea wanaume??

I have never attempted kuhisi kuwa nawafahamu wanawake ukizingatia hadi sasa bado nahangaika kumfahamu vizuri Bibi DC!!

Wasiotoshelezwa na mke mmoja ni wengi sana....hata mie nilikuwa mmoja wao enzi zile!!

Babu DC!!
 



Jamani DC Usivunje mbavu zako....lol...

Kwani hao wanaume wana lala na nani?? Si sisi wake zao..... Kama vile ambavo wanaume huongea vijiweni hawatoshelezwi na mwanamke mmoja, ndio hivo hivo na wanawake wakikutana vijiweni hukaa na kuongea... Ooooh! And believe me kaka.... more than 50% halalama wenza wao ni wabovu katika hio sector, na hushia kuwauliza wenzie nifanyeje jamani ili mume wangu aweze niridhisha??

Then the same woman akiwa na mumew sababu most ni really good actresses wanaishia kuonesha kwa wapenzi wao kama wako ulimwengu wa 7 kwa starehe... Na mwanaume akitoka hapo anaridhika kua kamridhisha mkewe.... Kumbe mkewe kisha msoma hata ajitahidi namna gani mwanaume wake achoka haraka.... Sasa DC as a Woman alabda umeumbwa maandalizi mazuri na hadi you cumm ni maybe dakika 40.... Mume uwezo wake max ni dakika 14.... What do you do? Utamwambia wewe huwezi?
 


kilasiku nakuelewa lakinleonimeshindwa kukuelewa.
anaibomoavipnyumba yake mwenyewe?
kwa kutopewa unyumba?
kwa mume kulalanje?

anaonekana kuappreciate huduma za mumewe the only thng ni akuna dudu sasa mpira ukirushia mwanamke et anaharibu nyumba yake apo sjapaelewa au labda uelewawangu mdg au uenda iam leftist n ur light....:cool2:
 
Shem hapa tuko jukwaa gani?
 
Yaani wewe upo akinili kwangu kabisaaaaaa..... Haya ndio yalipita akilini kwangu, bahati mbaya hadi yalivuka zaidi ya hapo.... lol.... Bora umemlipua! Naamini kwa mtindo huu anaweza tafuta pengine :redface:


Why think otherwise,

Mtu yeyote ambaye ni mjasiriamali atatumia opportunity iliyo mbele yake vizuri.....

Hata mie ningekuwa mdau, ningewahi kabla sijachelewa.....kwa huyo dada ni sawa na kutiririsha maji toka kwenye kilele cha kilima...resistance ni negative kabisa!!


Babu DC!!!!
 

ADI,

Unaongelea wanawake wa umri gani?? Teens au wale wako 30-40?

Kama mwanamke yuko kwenye umri huo na bado hajajua jinsi ya kuliendesha gari lake vizuri basi she has herself to blame!!

Natamani Nyamayao aje hapa awahakikishie ninayoyasema!!

Babu DC!
 

Welcome back da Rose,

Hope umerudi salama.....:welcome:


:focus:
Hata mie nasubiri ufafanuzi wa ADI kwani sijaona mahali ambapo pamemfanya ambebeshe mzigo wote dada wa watu wakati tayari na zigo la ukame wa 5months!!

Babu DC
 


Kwanza niseme nimefurahi kukuona Rose....

anaibomoavipnyumba yake mwenyewe?

Ana tatizo, ila ana tone ya kukata tamaa na she does not want to work on it; Hio ikiwa imepaliliwa na statement yake ya kwanini yupo nae... (... Kua support itakwama if she leaves); Inaonesha wazi kua hajaonesha intensity ya kukwazika kwake kwa hilo tendo la mumewe kuto weza telekeza hio sector.

kwa kutopewa unyumba?

Unyumba ni muhimu saana katika ndoa, but it is not everything, na ni ndoa nyingi (atleast ndio ninavoamini) ambao once in a while waweza pita hii phase, phase ambayo yaweza sababishwa na mke au mume, na yahitaji busara na uvumilivu wa juu saana kujua what next step to take.

kwa mume kulalanje?

Kuhusu mume kulala nje.... Rose Read between the lines dear katika hio original post..... it is crystal clear if you concetrete enough...


Hapo blue.... then Rose kama you think I think that.... then hujanipata vizuri.....
 

BIG NO ADi!!!!

Ni kauli za kujishawishi kuishi na matatizo....Hakuna ndoa bila unyumba!!

Labda kama haya yameanza siku hizi!!

babu DC!!
 

AshaDii umenena vyema!
 

Dhahiri inaonyesha huyo mjamaa ana mwingine nje, na pia ni vema nae shost wako aangalie bora elim ambayo anaweza asijekuifaidi ama bora kubaki bila elimu na kulast longer baada ya tafakari kama hiyo kwa kina yafaa afikie uamuzi thabiti ambao hatakuja kujutia maishani
 
Ndo hizi jamani ni mateso huyu analia hili mwingine analia lile
 
Shem hapa tuko jukwaa gani?

hahahaha..... :scared:



No comment... Najua niki Comment nitaharibu! lol
 


Kuendesha gari sio tatizo.... Wewe mwenyewe DC wajua as time goes by badala ya miundo mbinu kuboreshwa ndio kwanza inaharibika. Gari lako waweza li handle vizuri kabisaa, unahakikisha service ya kutosha, una cheki hadi oil kila asubuhi, na ukikuta bara bara mbaya wapunguza hadi mwendo kuhakikisha tu kua huaribu gari na kama liko chini saana wahakikisha hata sampo isije kwanguka na kuharibika.

Lakini bado tu kila wakati gari lako kila mara ni bovu ama kiwango chake cha kuenda kasi ni ndogo mno hata ukanyage mafuta kiasi gani! Hapo kweli utamlaumu mwendeshaji? hata kama she is doing her very best?
 
BIG NO ADi!!!!

Ni kauli za kujishawishi kuishi na matatizo....Hakuna ndoa bila unyumba!!

Labda kama haya yameanza siku hizi!!

babu DC!!


Khaaaa!! What are you saying? Uwe ndani ya ndoa mwenzio hawezi fanya basi ukimbie ndoa na wajua fika huko mwanzo alikua akikufikisha vilivo na alikua akikutendea haki? Ndio maana wanasisitiza saana ubunifu katika mapenzi DC.... Sex bana kumridhisha mkeo sio lazima umtumie Senior.... Kama senior ana tatizo you can still make love thou mmoja atapunjika :redface:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…