Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....
Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.
Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.
Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....
HOWEVER
- Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
- Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
- Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.
AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.