Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Ongeza maelezo, umri, watoto, una age limit ya unayemtaka nk.
 
Mungu wetu ni mwaminifu atajibu kwa wakati na kila mmoja na kusudi lake atafanya kwa wakati.
 
Pole sana,Mungu akupe haja ya moyp wako.Wenye vigezo watakuja.Amini hivyo....
 
Hii bado sana Tanzania... Tanzania kuwa positive ni death sentence...

Woga na unyanyapaa ulikua zamani, sasa hivi uelewa ni mkubwa katika jamii na ile hali ya watu kutengwa kutokana na status zao ni kama imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…