Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
unashangaa nini kwny post zangu?Dada mtu nikuulize swali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unashangaa nini kwny post zangu?Dada mtu nikuulize swali?
🤣🤣🤣Sawa kakamtu Haina nomaDada mtu mimi kaka mtu
Wewe hali yako ipoje?Karibu.
Umeshaacha kupiga jeki?unashangaa nini kwny post zangu?
Ongeza maelezo, umri, watoto, una age limit ya unayemtaka nk.Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Naweza kuwa positive naweza kuwa negative,Kwa Nini unauliza?Wewe hali yako ipoje?
Sababu kuna jamaa hapo juu anahitaji jiko ili aache kupiga jeki, najua unaweza ukapata sapoti hioNaweza kuwa positive naweza kuwa negative,Kwa Nini unauliza?
Mimi Nina Mtu tayari mydiaSababu kuna jamaa hapo juu anahitaji jiko ili aache kupiga jeki, najua unaweza ukapata sapoti hio
Sawa mydia yupo wapi mtu huyo nimuoneMimi Nina Mtu tayari mydia
Yupo huko Club house sio JF.Sawa mydia yupo wapi mtu huyo nimuone
Haya sawa dada mtuYupo huko Club house sio JF.
Karibu.Haya sawa dada mtu
Pole sana,Mungu akupe haja ya moyp wako.Wenye vigezo watakuja.Amini hivyo....Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Alifumaniwa na mke wa mtu, jamaa wameamua kumuweka kimada ndugu yetu mzabzabSijamuona siku nyingi jukwaani huyu jamaa.
So sad!Alifumaniwa na mke wa mtu, jamaa wameamua kumuweka kimada ndugu yetu mzabzab
Hii bado sana Tanzania... Tanzania kuwa positive ni death sentence...