Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

Woga na unyanyapaa ulikua zamani, sasa hivi uelewa ni mkubwa katika jamii na ile hali ya watu kutengwa kutokana na status zao ni kama imeisha
Watanzania ni waoga sana full stop by
 
Dada utaishia utani ntakupa inbox wana kundi ila wanakupima
 
ukishauza mechi tu hizi ndio nyuzi unazikuta juu kabisaa humu jf
 
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???

Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Samahani kama nitakukwaza, je ni lazima awe +?
 
Sijui kwanini nahisi naweza mtibu mtu mwenye HIV..... Dah au basi nisijezua balaah lingine nchini🚶🚶

Watu bado wanamajanga ya sukari..
 
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???

Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Kiongoz sore, kwan huwez kupata mwenza unavyoenda ctc?
 
Back
Top Bottom