Dadamtu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2023
- 502
- 1,093
Watanzania ni waoga sana full stop byWoga na unyanyapaa ulikua zamani, sasa hivi uelewa ni mkubwa katika jamii na ile hali ya watu kutengwa kutokana na status zao ni kama imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni waoga sana full stop byWoga na unyanyapaa ulikua zamani, sasa hivi uelewa ni mkubwa katika jamii na ile hali ya watu kutengwa kutokana na status zao ni kama imeisha
madako yakoMimi nina mpenzi HIV positive, wakati Mimi ni negative na naona nashindwa kumuacha. Nampenda sana.
Mwenyekiti una niwakilisha vizuri😆😀Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa ya Kinondoni...
😁😁😁Hongera kwa kupima na kuijua afya yako... Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki afu nikokotwe na katapila la Manispaa ya Kinondoni...
Samahani kama nitakukwaza, je ni lazima awe +?Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
Kiongoz sore, kwan huwez kupata mwenza unavyoenda ctc?Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia???
Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...