Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Unatembea na mke wa mtu halafu unachat nae kipumbavu huku ukimrudisha kwa mume wake na usafiri wako.
 
Kuanzia mwanzo ulishaweka usalama wako rehani kupitia mawasiliano labda ni mgeni au mshamba kwenye mambo hayo. Usalama wako ni muhimu sana unapodeal na mke wa mtu. Anaweza asikutafute kisheria ila akakutafuta kimtaa.
Unachati na mke wa mtu Whatsapp wewe Bure kabisa.
Ila mke wa mtu mtamu nyie sikieni tu lakini ukidakwa pumbu zote zinasinyaa na dudulepe linaingia ndani unakua lofa kabisa huna cha kujitetea maana ni km umekamatwa ukiwa ndani ya nyumba ya mtu bila lidhaa yake kwa hio kifuatacho ni yeye kuamua akukaange mzima mzima au akufikishe kituoni ila wengi hua wanakumaliza kijemedali maana gharama huwezi kufidia
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena
Nashindwa kuelewa why? Kutembea na mke wa mtu mnachukulia kama ni pride, huo ni upumbavu wa hali ya juu
 
Hapo umenena ndio mana si fear kugombana na mwanamme anayemchimba mke wako. Ukimaliza huyu kesho anachimbwq na mwingine utagombana na wangapi?
Solution ni ku deal na huyohuyo mkeo.
Anza kudeal na wewe mwenyewe kwanza jiulize nini na wapi unapokosea sio wapi mkeo anapokosea, nina experience ya kugandwa na wake za watu ingawa wote hakuna niliemfungulia zipu mmoja alisema jamaa anawakanda wanawake huko anapofanyia kazi maana wanaweza wakae hata miezi 6 hawajakutana ni kuwasiliana kwa simu tu na jamaa akirudi ni kimoko chali yaan mwanamke anabakia na hamu zake za muda mrefu kwa hio akaanza kusema tabu yote ya nini wakati wanaume wakumkanda wapo kwanini anakua na mwanaume kimoko chali tena chali yenyewe ni dakika 3 mchezo umeisha anakoroma, kwa hio ukiona mwanamke anaenda kubetuliwa huko nje jiulize wewe una tatizo gani sio mwanamke ana tatizo gani yaan anza na wewe
 
Mkuu hii ni taarifa unatupatia au unahitaji msaada na ushauri?

Btw kutembea na mke wa mtu sio ujanja coz madhara yake ni mengi na makubwa kuliko faida.
 
Anza kudeal na wewe mwenyewe kwanza jiulize nini na wapi unapokosea sio wapi mkeo anapokosea, nina experience ya kugandwa na wake za watu ingawa wote hakuna niliemfungulia zipu mmoja alisema jamaa anawakanda wanawake huko anapofanyia kazi maana wanaweza wakae hata miezi 6 hawajakutana ni kuwasiliana kwa simu tu na jamaa akirudi ni kimoko chali yaan mwanamke anabakia na hamu zake za muda mrefu kwa hio akaanza kusema tabu yote ya nini wakati wanaume wakumkanda wapo kwanini anakua na mwanaume kimoko chali tena chali yenyewe ni dakika 3 mchezo umeisha anakoroma, kwa hio ukiona mwanamke anaenda kubetuliwa huko nje jiulize wewe una tatizo gani sio mwanamke ana tatizo gani yaan anza na wewe
Point. Pia, mwanamke kama hajakuambia kuwa kaolewa unamjuaje? Halafu hajabakwa, karidhia
 
Ni sahihi kabisa, haya mambo sio kutishia, unafanyiwa timing na kweli hutokea; ipo siku utakuja jutia haya unayojivunia nayo either ukiwa kilema au ahera
Anawadanganya wenzie ,kijana mke wa mtu muogope kama ukoma siku kikinuka huko kubwabwaja kwake hutosikia atakuwa tuli
 
Unatembea na mke wa mtu halafu unachat nae kipumbavu huku ukimrudisha kwa mume wake na usafiri wako.
Akifikwa ataelewa utamu umenoga mpaka anarudisha mke wa mtu getini kwake tena bila uoga kabisa
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Inanguruma mwaka wa pili jamaa akiwa nje Kwa dhamana si ndio? Unachomdanganya mwenzio ni nini sasa, huhofii jamaa anaweza kumdhuru nje ya Sheria??
Hata wewe akili huna ulitakiwa umalizane na mwanaume nje ya mahakama sababu si ni kweli umemdhulumu nafsi yake mwanaume mwenzio. Sio ujanja huo ni upumba
 
Point. Pia, mwanamke kama hajakuambia kuwa kaolewa unamjuaje? Halafu hajabakwa, karidhia
Shida sio mwanamke shida ni wewe lazima uelewe kua huyu ni mke wa mtu kwa hio inabidi uwe makini nae km hajakwambia fanya tafiti zako binafsi utajua tu kipelelezi sajenti lazima ujue kua hii mali ya mtu nikikwapua hapa naonekana mwizi wa mali ya mtu maana mwenzio kajipinda kweli kauza mang'ombe kaoa wewe leo tu unaenda kuchukua km wako na hujachangia chochote huoni km unafanya makosa?
 
Anza kudeal na wewe mwenyewe kwanza jiulize nini na wapi unapokosea sio wapi mkeo anapokosea, nina experience ya kugandwa na wake za watu ingawa wote hakuna niliemfungulia zipu mmoja alisema jamaa anawakanda wanawake huko anapofanyia kazi maana wanaweza wakae hata miezi 6 hawajakutana ni kuwasiliana kwa simu tu na jamaa akirudi ni kimoko chali yaan mwanamke anabakia na hamu zake za muda mrefu kwa hio akaanza kusema tabu yote ya nini wakati wanaume wakumkanda wapo kwanini anakua na mwanaume kimoko chali tena chali yenyewe ni dakika 3 mchezo umeisha anakoroma, kwa hio ukiona mwanamke anaenda kubetuliwa huko nje jiulize wewe una tatizo gani sio mwanamke ana tatizo gani yaan anza na wewe
Unaweza ukapeleka moto. But still akachimbwa tu. Kama ni hulka yake hata ufanye nini atachimbika tu.
 
Ta
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki ten
Kwa kibamba lazima wa ku pididy
 
Ni kilogo kitakatifu hakika wai tokea kwenye koo yao yaani hatakufa ila tabu atakayo pata akipona hawezi rudia Tena kutomba mke wa mtu
Kuna wengine wamekulia mizizi ya kijadi hata uwaroge vipi kitu kina-bounce na wewe msake msake hata dada yake au mkewe upozee machungu au yeyote kwenye familia au ukoo mtafute malizana nae kijemedali kuroga huwezi au la fanya umafia kampakae mafuta km imekuchoma sana maana ng'ombe wanauma umejipinda ng'ombe 20/30 kwa kiumbe kimoja halafu anatokea mwehu huko anakuja kujipigia tu bila kuangalia gharama ulizotumia
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena
Me will advise you to put oil in your pocket like, Pdidy
 
Huna akili lkn hata busara huna.
Unadhani tunaotoka na masingle maza hatuwaoni wake za watu?
 
Back
Top Bottom