Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Mnakula visivyo halali alafu mmeshindwa kuitumia teknolojia kikamilifu.... Whatsapp huwa ina option ya "locked chat", message zinaingia kimya kimya na hazionekani mpaka uingize password
 
Wewe waache waendelee mkuu.Mimi kuna jamaa mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu,alirogwa tumbo likavimba kama mimba ya mbuzi pacha.Mwishowe lile tumbo lilikuja ku burst kama pancha ya tairi kubwa.
Mimi katika uhuni wangu wote,nimewahi kutembea na mke wa mtu mara moja.Ile ndoa hatimaye ilivunjika,nafsi yangu inanisuta na ninaumia sana na hii historia kwangu.Yule mwamba hakuwahi kunifumania,ila mkewe kwa kunogewa na penzi langu,alimletea kiburi na jeuri mumewe mpaka wakaachana,roho inaniuma kwasababu mimi ndo chanzo.
Mimi huwa nasema madhara ya kutembea na mke wa mtu huwa ni makubwa sana yanagusa kila sehemu ya familia kuanzia uchumi, upendo, mauti, vilema, watoto ndo wahanga wakubwa kama wapo pia maumivu ambayo unapeleka kwa mwanaume mwenzio ni makali sana ila karma ya maumivu yote hayo lazima ulipe tu kama sio wewe watoto wako kama sio wao wajukuu wako na kuendelea, hakuna sababu yoyote ya kutembea na mke wa mtu kama hukuwa unajua ukijua acha au kama unajua usimsogelee kabisa.
 
Kwahiyo hata ukifirwa na wahuni poa tu kwavile waliokufumua wapo jela?! Yaani ni kama it's okay kwako kuwa gang sodomized in exchange of freequently used papuchi!! Huyo jamaa hata kama akiuawa, wewe utakuwa umepata nini? Inasikitisha kuona mtu anayeongea ujinga kiasi hiki yupo JF since 2012 na hivyo kuonesha kuna kila dalili kwamba ni mtu mzima na sio hivi vivulana vya chuo! Halafu hapo kabla umesema ulifumaniwa na mke wa watu ikawa makamera kama yote halafu wakakutishia wataachia video?! Kuwa mkweli! Kwanini mtu akutishie kuachia video kwa picha za uchi peke yake?! Something drilling happened to you na sio mere nude pics! Hakuna mtu atakodi wahuni etu kuja kukupiga picha peke yake, na inaelekea ulinogewa ndo maana hujali!!
Una vitisho vya kiuoga uoga. Wewe ukitombewa deal na mkeo. Kuna wababe zaidi Yako, na ukileta ubishi na wewe unapigwa.
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena
Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Usimfundishe mwenzio ujinga wewe sio watu wote wanafanya hivyo. Mi nikikufumania wala cfanyi chochote. Ila nitakupa miaka mitano ya kujisahau hicho utakachofanyiwa itakuwa historia kwenu. Sio kila mtu anafanya maamuzi au kuongea wakati ana hasira mzee. Mwambie aache ujinga wa kutembea na wake za watu.
Utaua wangapi? Kwani unadhani mkeo hatombeshi nje?
 
Hivi huwa miitembea na wanawake walioolewa mnakuwa mnawaza nini? Mwanaume akichspiwa ni sawa na simba aliyejeruhiwa. Anaweza kukutenda vyovyote tu...

Mbona singles wapo sana tu.
Unajuaje kama ni mke wa mtu?
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena
Anza kutembea na DIDDY OIL
 
Kuna mambo mengi ambayo vijana au Wanaume mnayofanya na kujitangaza kwenye mitandao ni ya kijinga sana. Mke wa mtu ni sumu, ingekuwa ndio wewe Mke wako ungekundua analiwa na Mwanaume mwenzako ungejihisi vipi? Hizi ni sifa za Kijinga sana. Matukio yapo mengi sana unaweza ukafanyiwa. Usijione wewe ni Mwamba kumbe ni fala tu.
 
Wewe waache waendelee mkuu.Mimi kuna jamaa mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu,alirogwa tumbo likavimba kama mimba ya mbuzi pacha.Mwishowe lile tumbo lilikuja ku burst kama pancha ya tairi kubwa.
Mimi katika uhuni wangu wote,nimewahi kutembea na mke wa mtu mara moja.Ile ndoa hatimaye ilivunjika,nafsi yangu inanisuta na ninaumia sana na hii historia kwangu.Yule mwamba hakuwahi kunifumania,ila mkewe kwa kunogewa na penzi langu,alimletea kiburi na jeuri mumewe mpaka wakaachana,roho inaniuma kwasababu mimi ndo chanzo.
Jamaa baada ya kupasuka tumbo nini kilitokea? alipona au alikufa?
 
Nadhani weka Nguvu kubwa kwa mkeo. Utazika wangapi?
Wewe mshamba wa zenji usijifanye dunia imeanzia kwako, watu wengi tu wameangamia kupitia wake za watu, yaani wewe mshamba mmoja huwezi kuja badilisha ukweli huo
 
Mwenyewe nina kesi ka hiyo..nimechakata mbususu ya mke wa jamaa flani.basi kila siku jamaa vitisho haviishi,me nimemjibu amalizane na mkewe huko coz mpaka namtongoza ananikubalia na anakubali kunipa papuchi alijua kuwa ni mke wa mtu,otherwise angenikatalia nisingemlazimisha.
Siku si nyingi huo mwenendo wako kwenye Id yako jf itakuwa R.I.P
 
Mwenyewe nina kesi ka hiyo..nimechakata mbususu ya mke wa jamaa flani.basi kila siku jamaa vitisho haviishi,me nimemjibu amalizane na mkewe huko coz mpaka namtongoza ananikubalia na anakubali kunipa papuchi alijua kuwa ni mke wa mtu,otherwise angenikatalia nisingemlazimisha.
Itoshe kusema kama kuna sehemu umeziacha Akili zako fanya ukazichukuwe.
 
Mkuu endelea kula bibie tu. Badiisheni tu mikakati ya mawasiliano tafuta namba ya magumashi na endelea kwa Raha zako.
 
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.

2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.

3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.

#Huyu mwanamke simtaki tena
Chai
 
Mwenyewe nina kesi ka hiyo..nimechakata mbususu ya mke wa jamaa flani.basi kila siku jamaa vitisho haviishi,me nimemjibu amalizane na mkewe huko coz mpaka namtongoza ananikubalia na anakubali kunipa papuchi alijua kuwa ni mke wa mtu,otherwise angenikatalia nisingemlazimisha.
Huyo Jamaa ni Boya. Badala amalizane na mke wake anakuja kwako.

Hapo hakuna Mwanaume ndio maana hata mke wake analidharau.
 
Back
Top Bottom