Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mkuu ni swala la kutumia akili ya kuzaliwa, unatongozana vipi na mtu hadi mnaenda guest bila ya kumfahamu ? Si utakuja kulalq na majambazi au wauza viungo vya binaadamu wakunyonge huko guest ufe kwa aibuUnamjuaje mke wa mtu?
Hiyo ndo changamoto nyingine.Na wengi wanaficha
Weka shingo yako vema.Nakuja kukuchinja.1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi.
2. Mume akamnyang'anya simu akaanza kupekua WhatsApp chat akakutana na conversation yetu ya siku Ile Ile tukiwa tunaelekezana pa kukutana sasa jamaa kaniforwardia conversation kwenye WhatsApp yangu na simu kama zote. Sijapokea wala Sijajibu.
3. Nawaza, niwahi kwenye Ile guest wafute zile image (wakati tunaingia na kutoka) kwenye CCTV zao wasije wakapewa hela na huyu boya ukapatikana ushahidi.
#Huyu mwanamke simtaki tena
Sio wajibu wa mwanaume kuchunguza profile ya mwanamke anayemtom.bah. naamini hukumkuta bikraHapo mkuu ni swala la kutumia akili ya kuzaliwa, unatongozana vipi na mtu hadi mnaenda guest bila ya kumfahamu ? Si utakuja kulalq na majambazi au wauza viungo vya binaadamu wakunyonge huko guest ufe kwa aibu
Hii picha imebeba ujumbe sahihi kwa hii mada.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
View attachment 3118289
Nadhani weka Nguvu kubwa kwa mkeo. Utazika wangapi?Hii picha imebeba ujumbe sahihi kwa hii mada.
Jamaa ukiendelea kuishi kizembe, wanawake watakuzika😅
Sijajua umri wako kwa usahihi ila itoshe kusema wewe ni limbukeni sanaaa, anatombewar Bill Gate huko nae kakosa nini ? Acha mawazo ya umasikiniVijana kama huna pesa usioe. Utatishia wanaume wangapi?
Bill gate uliona Katoa vitisho?Sijajua umri wako kwa usahihi ila itoshe kusema wewe ni limbukeni sanaaa, anatombewar Bill Gate huko nae kakosa nini ? Acha mawazo ya umasikini
Ohooo, usinigombanishe na Dr.
Which dr what dr.....😹Ohooo, usinigombanishe na Dr.
Usimfundishe mwenzio ujinga wewe sio watu wote wanafanya hivyo. Mi nikikufumania wala cfanyi chochote. Ila nitakupa miaka mitano ya kujisahau hicho utakachofanyiwa itakuwa historia kwenu. Sio kila mtu anafanya maamuzi au kuongea wakati ana hasira mzee. Mwambie aache ujinga wa kutembea na wake za watu.Hamna kesi hapo. Hata angekushika UGONI live si jinai. Akipiga simu pokea halafu hakikisha unamrekodi kisha kafungue kesi ya KUTISHIA KUUA KWA MANENO (JINAI) halafu mkutane mahakamani nakuhakikishia hiyo kesi inampeleka jela huku unaendelea kupiga bibie tena kitandani kwake.
Binafsi, niliwahi kufumaniwa CITY STYLE HOTEL na anayedaiwa ni mume wa mwanamke niliyekua nae faragha. Jamaa wamevamia na makamera room, tukiwa uchi. Wakachukua video na makelele kibao baada ya hapo wakanitishia kurusha picha za utupu mitandaoni. Baadae jamaa akarusha video aliyoturekodi kupitia whatsapp yangu. Akajiloga akapiga simu (voice call) vitisho vya kuniua mimi hapo NAREKODI tu Haikuchukua muda jamaa anapelekewa wito mahakamani kesi inaunguruma mwaka wa pili huu.
Haya endelea kutembea na wake za watuSio wajibu wa mwanaume kuchunguza profile ya mwanamke anayemtom.bah. naamini hukumkuta bikra
Acha ufala wew , mtu kafanya ujinga bado unamuelekeza ujinga Dunia si yako shehe heshimu cha MTUHamna kesi hapo. Hata angekushika UGONI live si jinai. Akipiga simu pokea halafu hakikisha unamrekodi kisha kafungue kesi ya KUTISHIA KUUA KWA MANENO (JINAI) halafu mkutane mahakamani nakuhakikishia hiyo kesi inampeleka jela huku unaendelea kupiga bibie tena kitandani kwake.
Binafsi, niliwahi kufumaniwa CITY STYLE HOTEL na anayedaiwa ni mume wa mwanamke niliyekua nae faragha. Jamaa wamevamia na makamera room, tukiwa uchi. Wakachukua video na makelele kibao baada ya hapo wakanitishia kurusha picha za utupu mitandaoni. Baadae jamaa akarusha video aliyoturekodi kupitia whatsapp yangu. Akajiloga akapiga simu (voice call) vitisho vya kuniua mimi hapo NAREKODI tu Haikuchukua muda jamaa anapelekewa wito mahakamani kesi inaunguruma mwaka wa pili huu.
Wanamzika kabisa na siku hizi wanafika mpaka makaburiniHii picha imebeba ujumbe sahihi kwa hii mada.
Jamaa ukiendelea kuishi kizembe, wanawake watakuzika😅
Na mwanga wa milele umuangazie, aapumzike kwa amani.Mwanga wa milele umpe eeh Bwana...😃
Ukijua hivi wenzako wanajua vileMtaani kuna jamaa tena anacheo kabisa alikuwa anatembea na mke wa mtu jamaa akamfata akamchana mheshimiwa asubuhi kapeleka kesi polisi ya kutishiwa maisha kesi mahakamani jamaa ametombewa na ndani amekaa,(nguvu ya pesa)
Mpemba yule alichofanya baada ya kutoka akampa mke talaka na kumuachia kila kitu(tajiri) kuona hvyo ndo akawa wazi wazi anapaki gari nje anajipigia mapenz waz waz kilichotokea jamaa baada ya kwenda kwao pemba ni (mheshimiwa) mpaka sasa ni chizi kabisaa anaokota makopo na kujipaka kinyesi mke tumezika mwez ulopita baada ya kugongwa na lori