Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Sema wanawake ni virusi sana aisee! Tena hawa waliopo kwenye ndoa asilimia kubwa hawajiheshimu (mume wake awe tajiri/masikini).
Tabia zao ni za hovyo ndiyo virusi vikubwa kwenye haya maisha, tujitahidi kuepuka tamaa za kingono wanaume na pia jitahidi kumjua mwanamke undani wake pale anapojilengesha kwako(ufahamu vyema ni mke wa mtu au la).
Ni fedheha kubwa sana kupata matatatizo kwa mke wa mtu ni fedheha sana.
Kingine tuache zinaa, zinaa ndiyo chanzo cha matatizo yote haya yanayotokea mitaani i.e watu kurogana,kuuana,kufanyiana unyama wa kijinsia.
Hallelujah!!!