kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Sali sana au pambana sana. Shetani kaweka kambi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ushauri ni maoni 🤺Huu ni ushauri mbovu kuuona tangu mwaka huu uanze ukiachana na nyuzi za kisiasa za wana-CCM.Umeambiwa uishi na mke kwa akili na siyo umpe jirani au rafiki akili akushikie.Simama kama mwanaume.Kwani lazima utumie akili za rafiki uliyekutana naye tu mjini kuiendesha familia yako?Huo ni udhaifu daraja la juu sana.Badilika!
Eroni kunywa maziwa. Fresh kwa mangi Sina siji kulipaNa wewe umetoa bonge la ushauri!🤣🤣 "utafute rafiki wa kiume mshauriane kiume zaidi"...hata mambo ya faragha we umshirikishe rafiki, hata ya kiuchumi we mwambie tu kila kitu.
We jamaa bwana!!
Duh, ndugu hiki kisa hakipaswi kuwa comment. Hii ilitakiwa iwe katika uzi unaojitegemea. Kuna somo kubwa mno hapa.Umemshauri vizuri kaka mkubwa,
Story ya huyo dada inafafa na ya Aunt yangu, ndoa yake ilavamiwa na kidudumtu akamshika Anko kichwa akawa anamtafutia wanawake, kila kitu anamshirikisha, nyumba ikawa haina amani, hajali tena familia yeye ni wa kupelekeshwa na huyo rafiki akiyemuamini kuliko nafsi yake, Aunt alikonda sana, alihangaika sana kuwatenganisha vikao na vikao viliwekwa lakini wapiiii,
Siku moja huyo kidudumtu akamtambulisha Anko kwa mwanamke akadai alikua anaishi Uingereza ameachana na mume wake amerudi Tz, basi wakaanza mahusiano penzi lililonoga akawa harudi nyumbani hata wiki, nguo akahamishia kwa huyo Muingereza, si akaanza kumjengea nyumba bhana, unaambiwa Anko alitumia pesa zake zote na mikopo juu kujenga nyumba ya kifahari, nyumba ilijengwa kwa shinikizo la huyo huyo rafiki mtu akamshawishi ajenge nyumba ya kifahari amuoe huyo mwanamke waishi wote,
Kufupisha story, siku moja anko, kidudumtu na yule mwanamke walikua hoteli moja maarufu kwenye live band, mmoja wa waimbaji wa ile Band anawafahamu wote watatu si ndio akaenda kuwasalimia bhana akawa anamuita yule mwanamke shemeji, kwa kuzuga ikawa hana namna ilibidi aitikie na kulazimisha uchangamfu, baada ya yule muimbaji kuondoka kidudumtu na Mwanamke wa UK hawakua na furaha baada ya muda wakaondoka, lakini Anko akabaki na alama nyekundu vipi yule muimbaji amuite yule Mwanamke Shemeji? Alijua ni Mwanamke wa nani wakati yeye mke wake anajulikana na yule hawara anamficha kama bangi sura yake haitambuliki isipokua kwa rafiki yake? na Rafiki yake hana Mke? Hakutaka kupuuzia hilo,
Weekend iliyofata akaenda peke yake akamuomba muimbaji wazungumze pembeni, alipomuuliza kama yule mwanamke anamjua muimbaji akashangaa sana akamjibu mbona yule ni mke wa rafiki yako? Ina maana pale kwenye meza nyie mlikaa bila kujuana au ina maana hujui kama rafiki yako ana mke na watoto na yule mwanamke!,
Anko alipoteza fahamu hapo hapo,
Anko aliwajengea Mume na Mke nyumba nzuri huku yeye akibakiwa na madeni na msongo wa mawazo alirudi kwa mke wake suruali imetepeta, zombie si zombie ilichukua miezi 6 kurecover,nyumba hakuipata na huo ndio ukawa mwanzo na mwisho wa urafiki wao
Kuna tetesi zilisema alikua anaenda kuitizama nyumba yake kwa mbaaali huku analia ndio familia ikaazimia imuhamishe Mkoa.
Kuna mada kama uwezo wa kuchangia huna bora utulie usome comments utajifunza kitu.Huu ni uandishi wa kijana ambaye bado yupo chuo au amemaliza hivi karibuni bado hajaanza kusota na vibahasha,
Kuna mada zingine zinakua kubwa unaachana nazo tu.
hivi hii ni hali ya kawaida au kuna kurogwa?Umemshauri vizuri kaka mkubwa,
Story ya huyo dada inafafa na ya Aunt yangu, ndoa yake ilavamiwa na kidudumtu akamshika Anko kichwa akawa anamtafutia wanawake, kila kitu anamshirikisha, nyumba ikawa haina amani, hajali tena familia yeye ni wa kupelekeshwa na huyo rafiki akiyemuamini kuliko nafsi yake, Aunt alikonda sana, alihangaika sana kuwatenganisha vikao na vikao viliwekwa lakini wapiiii,
Siku moja huyo kidudumtu akamtambulisha Anko kwa mwanamke akadai alikua anaishi Uingereza ameachana na mume wake amerudi Tz, basi wakaanza mahusiano penzi lililonoga akawa harudi nyumbani hata wiki, nguo akahamishia kwa huyo Muingereza, si akaanza kumjengea nyumba bhana, unaambiwa Anko alitumia pesa zake zote na mikopo juu kujenga nyumba ya kifahari, nyumba ilijengwa kwa shinikizo la huyo huyo rafiki mtu akamshawishi ajenge nyumba ya kifahari amuoe huyo mwanamke waishi wote,
Kufupisha story, siku moja anko, kidudumtu na yule mwanamke walikua hoteli moja maarufu kwenye live band, mmoja wa waimbaji wa ile Band anawafahamu wote watatu si ndio akaenda kuwasalimia bhana akawa anamuita yule mwanamke shemeji, kwa kuzuga ikawa hana namna ilibidi aitikie na kulazimisha uchangamfu, baada ya yule muimbaji kuondoka kidudumtu na Mwanamke wa UK hawakua na furaha baada ya muda wakaondoka, lakini Anko akabaki na alama nyekundu vipi yule muimbaji amuite yule Mwanamke Shemeji? Alijua ni Mwanamke wa nani wakati yeye mke wake anajulikana na yule hawara anamficha kama bangi sura yake haitambuliki isipokua kwa rafiki yake? na Rafiki yake hana Mke? Hakutaka kupuuzia hilo,
Weekend iliyofata akaenda peke yake akamuomba muimbaji wazungumze pembeni, alipomuuliza kama yule mwanamke anamjua muimbaji akashangaa sana akamjibu mbona yule ni mke wa rafiki yako? Ina maana pale kwenye meza nyie mlikaa bila kujuana au ina maana hujui kama rafiki yako ana mke na watoto na yule mwanamke!,
Anko alipoteza fahamu hapo hapo,
Anko aliwajengea Mume na Mke nyumba nzuri huku yeye akibakiwa na madeni na msongo wa mawazo alirudi kwa mke wake suruali imetepeta, zombie si zombie ilichukua miezi 6 kurecover,nyumba hakuipata na huo ndio ukawa mwanzo na mwisho wa urafiki wao
Kuna tetesi zilisema alikua anaenda kuitizama nyumba yake kwa mbaaali huku analia ndio familia ikaazimia imuhamishe Mkoa.
Jamani nyumba niijenge Mimi halafu niwaachie, labda nisiwe Mimi. Ni mwanaume gani mjinga anaweza kukubali kuishi kwenye nyumba ambayo haikuitolea jasho asee nitaenda niichome moto na wote waliomo.Umemshauri vizuri kaka mkubwa,
Story ya huyo dada inafafa na ya Aunt yangu, ndoa yake ilavamiwa na kidudumtu akamshika Anko kichwa akawa anamtafutia wanawake, kila kitu anamshirikisha, nyumba ikawa haina amani, hajali tena familia yeye ni wa kupelekeshwa na huyo rafiki akiyemuamini kuliko nafsi yake, Aunt alikonda sana, alihangaika sana kuwatenganisha vikao na vikao viliwekwa lakini wapiiii,
Siku moja huyo kidudumtu akamtambulisha Anko kwa mwanamke akadai alikua anaishi Uingereza ameachana na mume wake amerudi Tz, basi wakaanza mahusiano penzi lililonoga akawa harudi nyumbani hata wiki, nguo akahamishia kwa huyo Muingereza, si akaanza kumjengea nyumba bhana, unaambiwa Anko alitumia pesa zake zote na mikopo juu kujenga nyumba ya kifahari, nyumba ilijengwa kwa shinikizo la huyo huyo rafiki mtu akamshawishi ajenge nyumba ya kifahari amuoe huyo mwanamke waishi wote,
Kufupisha story, siku moja anko, kidudumtu na yule mwanamke walikua hoteli moja maarufu kwenye live band, mmoja wa waimbaji wa ile Band anawafahamu wote watatu si ndio akaenda kuwasalimia bhana akawa anamuita yule mwanamke shemeji, kwa kuzuga ikawa hana namna ilibidi aitikie na kulazimisha uchangamfu, baada ya yule muimbaji kuondoka kidudumtu na Mwanamke wa UK hawakua na furaha baada ya muda wakaondoka, lakini Anko akabaki na alama nyekundu vipi yule muimbaji amuite yule Mwanamke Shemeji? Alijua ni Mwanamke wa nani wakati yeye mke wake anajulikana na yule hawara anamficha kama bangi sura yake haitambuliki isipokua kwa rafiki yake? na Rafiki yake hana Mke? Hakutaka kupuuzia hilo,
Weekend iliyofata akaenda peke yake akamuomba muimbaji wazungumze pembeni, alipomuuliza kama yule mwanamke anamjua muimbaji akashangaa sana akamjibu mbona yule ni mke wa rafiki yako? Ina maana pale kwenye meza nyie mlikaa bila kujuana au ina maana hujui kama rafiki yako ana mke na watoto na yule mwanamke!,
Anko alipoteza fahamu hapo hapo,
Anko aliwajengea Mume na Mke nyumba nzuri huku yeye akibakiwa na madeni na msongo wa mawazo alirudi kwa mke wake suruali imetepeta, zombie si zombie ilichukua miezi 6 kurecover, nyumba hakuipata na huo ndio ukawa mwanzo na mwisho wa urafiki wao
Kuna tetesi zilisema alikua anaenda kuitizama nyumba yake kwa mbaaali huku analia ndio familia ikaazimia imuhamishe Mkoa.
Hawa watu huwa wanapenda watuchagulie marafiki wa kuwa na naoNdo baadhi ya wanaume walivyo hatuwezi kuamini ke percent 100 no way lazima utafute rafiki mwenzako wa kiume mshauriane kiume zaidi au umesahau sir God alituasa tuishi nanyi kwa akili hivyo simpingii mshkaaji yupo very right hivyo tulia tu ndani Mambo yasije yakawa mengi hapa 🤣🤣🤣🤣 utaisoma namba safari hii
Anko mpaka sasa hajawa mzima ana guilty kubwa sana lakini mke na watoto wake watatu wanamuonesha upendo wa hali ya juu.Duh, ndugu hiki kisa hakipaswi kuwa comment. Hii ilitakiwa iwe katika uzi unaojitegemea. Kuna somo kubwa mno hapa.
Hawezi kuwa sawa tena. Ila huyo rafiki nae ana moyo. Kisa nyumba akakubali kushare mkewe akijua live anakung'utwa.Anko mpaka sasa hajawa mzima ana guilty kubwa sana lakini mke na watoto wake watatu wanamuonesha upendo wa hali ya juu.
Siamini sana kwenye uchawi ila naamini kuna watu wamejaaliwa kipaji cha kulaghai watu, ana manipulate mind yako na hisia zaki unakua kama robot anakuendesha atakavyo, wapo watu wa hivyo wake kwa waume, wana maneno mazuri, yenye ushawishi wa hali ya juu na kama amekutarget huchomoki labda na wewe uwe na nguvu dhidi yake.Kuna mada kama uwezo wa kuchangia huna bora utulie usome comments utajifunza kitu.
hivi hii ni hali ya kawaida au kuna kurogwa?
Kha! Hujawahi sikia watu wanatoa wake zao wakaolewe na maboss baada ya muda huyo boss anafilisiwa au anauliwa, wazee wanachukua chao wanahamia kwa mwingine,Hawezi kuwa sawa tena. Ila huyo rafiki nae ana moyo. Kisa nyumba akakubali kushare mkewe akijua live anakung'utwa.
Maisha yana mambo mengi mno.
Mungu anipe kukinai kwa nafsi nisije nikafikie tamaa ya kiasi hicho.Kha! Hujawahi sikia watu wanatoa wake zao wakaolewe na maboss baada ya muda huyo boss anafilisiwa au anauliwa, wazee wanachukua chao wanahamia kwa mwingine,
Maisha yana mambo si haba
Inauma ila ukifikiria jela unapiga moyo konde kua hivyo vitu vinatafutwa,Jamani nyumba niijenge Mimi halafu niwaachie, labda nisiwe Mimi.ni mwanaume gani mjinga anaweza kukubali kuishi kwenye nyumba amabyo haikuitolea jasho+a see nitaenda niichome moto na wote waliomo.