Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

Ahsante sana ntakufanyia kazi
Sijajua kitu gani kinampa jeuri maana uyo Rafiki yake na mkewe Kuna kipindi mpaka wananitukana mume wangu hafanyi chochote na Mimi huwa siwajibu
 
Kipindi tunaona huyu Rafiki yake hakuwepo mume wangu alikua na marafiki zake wengine na nilikuwa napatana nao wote baada ya kuja dar ndio kampata uyo Rafiki marafiki zake wa zamani mmoja wapo alikuja dar kututembelea mi nilikuwa nimesafiri nilivo rudi akaniambia shemu uyu Rafiki wa mumeo wa sasa hivi sio mtu mzuri mi sikutilia akilini sana kwanini ananiambia hivyo Wala sikujua kaona Nini
 
Iyo chumvi ya mawe wanatumiaje naomba nielekeze
 
Sawa ahsante ntalifanyia kazi
 
Hii hatari sana kumuamini mtu sana nayo sio nzuri, kuna watu wakiligundua hilo hulitumia vibaya.
 

Your hubby is a true definition of “idiot”
 
mumetoka shamba mumekuja mjini mumeo kakutana nawajanja wamjini kila siku anapelekwa viwanja vipya vya mademu🤣🤣🤣bado mshamba wapisi Kali lazima akuzarau anakuona wakawaidatu🤣🤣kutulia kwake paka mufirisike.sasa hivi hela zakugawa ofa anazo utamuambia nini?ngoja ushamba umuishe kwanza.🤣Mambo tulio fanya zamani wakati tukiwa mabachela yeye anafanya sasaivi.starehe zilimpita anajaribu nayeye kuzionja🤣🤣
 
Safi, alipata stahiki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa Mbagala ni baby mwenzio
 
Duuuuh!!! Pole sana, hili suala la ndoa watu wawe serious kucomment
 
Hii alinambia mimi yaani wewe usipokuwa karibu na mimi nina uwezo kumharibu mumeo kumpeleka kwenye makundi mabaya na urafiki wangu na mumeo wakutenganisha Bado hajazaliwa
Huyo jamaa ni mshirikina....chukua hatua mapema
 
Dahhh!!sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…