[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajui huyooo, wee muacheee atakuja stukaaa marafiki wanaishi woteee, na wanapeana zamu.Kwa kizazi cha Sasa usikute wanatatuana marinda na hizo txt za wanawake usikute ni huyo jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sanaaa.Yaan mim mwanaume wangu awe na rafiki nisiempenda mbona wataachana tu tengeneza zengwe,fitina ,chuki,uongo amchukie kabisa anakushindaje?
Wapo marafiki wa hivyo wa kugandana angalia ukute wanafirana
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Yaan mim mwanaume wangu awe na rafiki nisiempenda mbona wataachana tu tengeneza zengwe,fitina ,chuki,uongo amchukie kabisa anakushindaje?
Wapo marafiki wa hivyo wa kugandana angalia ukute wanafirana
Kabisaaaa ni wapenziii hawa.Pole sana, huyo ni mke mwenzio. Au ndio anakula mumeo kinyeo... watu wengi walioishia kuuchunguza urafik wa namna hyo kiundani hawakutoka na majibu mazuri zaidi ndoa ziliishia kufa. Pole sana muombe Mungu akuondolee huyo pepo kwenye ndoa yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.we nani kakwambia rafiki ake [emoji3][emoji3][emoji3] mke mwenzio huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi hawajionesh sasa, wana act urafiki. LolPole dada uyo mume wako atakua SHOGA, yes yaani baba junior ni punga either anakazwa au anamkaza uyo rafiki ake wa mbagala.
Machoko wengi sana mjini hapa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajitongozeshe kwa mke mwezaa? Wakoboaneeee?Ushauri wa usiku
Jitongozeshe kwa rafiki ake halafu utajua mbivu na mbichi.
Sipendezwagi na comments zako sijui why ...🚮Ndio baadhi ya wanaume walivyo hatuwezi kuamini ke percent 100 no way lazima utafute rafiki mwenzako wa kiume mshauriane kiume zaidi au umesahau sir God alituasa tuishi nanyi kwa akili hivyo simpingii mshkaaji yupo very right hivyo tulia tu ndani Mambo yasije yakawa mengi hapa 🤣🤣🤣🤣 utaisoma namba safari hii.
Rubbish.Ndio baadhi ya wanaume walivyo hatuwezi kuamini ke percent 100 no way lazima utafute rafiki mwenzako wa kiume mshauriane kiume zaidi au umesahau sir God alituasa tuishi nanyi kwa akili hivyo simpingii mshkaaji yupo very right hivyo tulia tu ndani Mambo yasije yakawa mengi hapa 🤣🤣🤣🤣 utaisoma namba safari hii.
Mtu yeyote aliyekuwa kwenye ndoa ya muda mrefu kwa maisha hayo haiwezekani kabisa, labda ushirikina uingilie kati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaza hivyoooo.
Umeombwa usome pita 👉Sipendezwagi na comments zako sijui why ...🚮
Haya mambo watu wanayafanya sanaUmemshauri vizuri kaka mkubwa.
Story ya huyo dada inafanana na ya Aunt yangu, ndoa yake ili vamiwa na kidudumtu akamshika Anko kichwa akawa anamtafutia wanawake, kila kitu anamshirikisha, nyumba ikawa haina amani, hajali tena familia yeye ni wa kupelekeshwa na huyo rafiki aliyemuamini kuliko nafsi yake, Aunt alikonda sana, alihangaika sana kuwatenganisha vikao na vikao viliwekwa lakini wapiiii.
Siku moja huyo kidudumtu akamtambulisha Anko kwa mwanamke akadai alikua anaishi Uingereza ameachana na mume wake amerudi Tz, basi wakaanza mahusiano penzi lilinoga akawa harudi nyumbani hata wiki, nguo akahamishia kwa huyo Muingereza, si akaanza kumjengea nyumba bhana, unaambiwa Anko alitumia pesa zake zote na mikopo juu kujenga nyumba ya kifahari, nyumba ilijengwa kwa shinikizo la huyo huyo rafiki mtu akamshawishi ajenge nyumba ya kifahari amuoe huyo mwanamke waishi wote.
Kufupisha story, siku moja anko, kidudumtu na yule mwanamke walikua hoteli moja maarufu kwenye live band, mmoja wa waimbaji wa ile Band anawafahamu wote watatu si ndio akaenda kuwasalimia bhana akawa anamuita yule mwanamke shemeji, kwa kuzuga ikawa hana namna ilibidi aitikie na kulazimisha uchangamfu, baada ya yule muimbaji kuondoka kidudumtu na Mwanamke wa UK hawakua na furaha baada ya muda wakaondoka, lakini Anko akabaki na alama nyekundu vipi yule muimbaji amuite yule Mwanamke Shemeji? Alijua ni Mwanamke wa nani wakati yeye mke wake anajulikana na yule hawara anamficha kama bangi sura yake haitambuliki isipokua kwa rafiki yake? na Rafiki yake hana Mke? Hakutaka kupuuzia hilo.
Weekend iliyofata akaenda peke yake akamuomba muimbaji wazungumze pembeni, alipomuuliza kama yule mwanamke anamjua muimbaji akashangaa sana akamjibu mbona yule ni mke wa rafiki yako? Ina maana pale kwenye meza nyie mlikaa bila kujuana au ina maana hujui kama rafiki yako ana mke na watoto na yule mwanamke! Anko alipoteza fahamu hapo hapo.
Anko aliwajengea Mume na Mke nyumba nzuri huku yeye akibakiwa na madeni na msongo wa mawazo alirudi kwa mke wake suruali imetepeta, zombie si zombie ilichukua miezi 6 kurecover, nyumba hakuipata na huo ndio ukawa mwanzo na mwisho wa urafiki wao.
Kuna tetesi zilisema alikua anaenda kuitizama nyumba yake kwa mbaaali huku analia ndio familia ikaazimia imuhamishe Mkoa.
Well said,,,coz binadamu hawaaminiki now dayzYaan mim mwanaume wangu awe na rafiki nisiempenda mbona wataachana tu tengeneza zengwe,fitina ,chuki,uongo amchukie kabisa anakushindaje?
Wapo marafiki wa hivyo wa kugandana angalia ukute wanafirana
marafiki zake wa zamani mmoja wapo alikuja dar kututembelea mi nilikuwa nimesafiri nilivo rudi akaniambia shemu uyu Rafiki wa mumeo wa sasa hivi sio mtu mzuri mi sikutilia akilini sana kwanini ananiambia hivyo Wala sikujua kaona Nini
Chunguza usikute n mke mwenzioHabari zenu wapendwa,
Mwenzenu nina changamoto nipo kwenye ndoa miaka 13. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tulikuwa marafiki wazuri ila baada ya kuhamia Dar mwaka 2015 kuanza maisha mume wangu akapata Rafiki uyo Rafiki yake ni wale watu wenye uswahili mwingi maisha yakaendelea tukapata maisha biashara nzuri tuna mafanikio sasa hivi, ila yule Rafiki wa mume wangu Hana kazi kwa hiyo muda wote anafatana na mume wangu.
Muda mwingine mume wangu anaacha kazi kwenda kuzurura na rafiki yake nikawa namwambia mume wangu shughuli za kazi zetu ni mjini wewe unashinda Mbagala huku biashara nani anaendesha, basi anakuwa mkali.
Yaani nikitaka kumuongelea huyo rafiki yake vibaya anakuja juu. Mume hanywi pombe havuti sigara hapendi mpira ila siku akiwa na rafiki yake kurudi nyumbani ni saa 7 au saa 8 usiku msg za wanawake kama zote kwenye simu ila wakitengana na Rafiki yake kama miezi miwili au mitatu anawahi kurudi simu anaacha peupe anashinda mazingira ya kazini.
Mwanzo nikasema labda mimi namchukia huyu Rafiki yake ngoja nianze kuongea naye, ukikaa naye ni kama mtu Mwenye chuki na wanawake haoni thamani ya mwanamke anamwambia mume wangu
1) Mwanamke akikupenda anakuwa kama mzigo bora kuishi na mwanamke asiyekupenda
2) Hii alinambia mimi yaani wewe usipokuwa karibu na mimi nina uwezo kumharibu mumeo kumpeleka kwenye makundi mabaya na urafiki wangu na mumeo wakutenganisha Bado hajazaliwa
3) Mke kitu gani, wangapi tunasikia huyu alikua mke wa fulani kwa hiyo kuachana na mke sio ishu.
Mume wangu kila kitu cha ndani ya ndoa anamwambia hakuna kitu hajui nilimwambia mume wangu vitu vingine ni siri yetu haelewi.
Mume wangu nampenda ila nahisi ye anampenda zaidi rafiki yake kuliko Mimi. Imefikia hatua nawaza niondoke nimuache na Rafiki yake au niendelee kumvumilia huyo Rafiki yake maana hata akipiga simu huyo Rafiki yake anaenda kuongelea nje.
Nahisi ndoa imekuwa ya watu wa tatu sio wawili tena naomba mnisaidie ushauri.
Umemshauri vizuri kaka mkubwa.