Iwe kwa hiari na kwa maamuzi ya mwanaume mwenyewe. Hii habari ya kuona ni lazima nitoe msaada huo haipo..!!Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamke na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii ikanifanya niulize swali hili je mwanaume kumsaidia mwanamke kazi nyumbani ni wajibu au hiari?
Fanya kazi za kiume Tu ,mfano kunavitu ambavyo vimearibika sio mpaka umwite fundi we mwenyew tu unaeza fix,Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii ikanifanya niulize swali hili je mwanaume kumsaidia mwanamke kazi nyumbani ni wajibu au hiari?
Hao vilaza wa aina hiyo huwa mnawatoa wapi na hadi mnawaoa?Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii ikanifanya niulize swali hili je mwanaume kumsaidia mwanamke kazi nyumbani ni wajibu au hiari?
Kama wewe ndio unafanyiwa hivyo, ebu usitu jumuishe kwenye mambo ya kijinga kabisa...☹️Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii ikanifanya niulize swali hili
Je, mwanaume kumsaidia mwanamke kazi nyumbani ni wajibu au hiari?
Akikaa kwa kochi ni mwendo wa kutuma tu, lete juice, lete remote lakini haya mambo inategemea na malezi nionavyo.Watu wavivu Dunia hii!
Malezi mkuu ni kipengere!Akikaa kwa kochi ni mwendo wa kutuma tu, lete juice, lete remote lakini haya mambo inategemea na malezi nionavyo.