tekategula
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 96
minipo singleMdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Mkuu!Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Hua ni mda saafi sana! Wakiwa 30 ashafyatua watano anapumzika anakula maisha!Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Yaani kumtafutia mdogo wake madume ni kumjali???! Are you serious?? huh?
Kwamba umejipachika kumdalalia dada'ko? Hii mupya kabisa.Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Wewe ulitafutiwa?Binadamu tunaishi tofauti kwanini nione vinginevyo!? wazazi wa kiume uungana na wa kike kuunganisha watoto wao na watoto wa marafiki zao waoane, tofauti ipo wapi na huyu.. mbaba kutaka mwanae wa kike amfunulie nguo mtoto wa rafiki yake. Acha watu waishi wanavyotaka, nawe ishi kivyako. Tena ni bora aone mdogo wake kaolewa kuliko kumletea majangaz, itamuepusha na mengi mbeleni kuna mengi yanaleta haya na hajatuambia na tuheshimu uamuzi wake. Haujaona wanawake wamefika 45 hakuna hata harufu ya mchumba!? Bye
Hasante sanaJust click kwenye avatar ya muhusika utaona option ya message hapo. Basi we anza kutiririka tu, hiyo itakuwa ni private message na ni wewe na yeye ndio mtaiona!
Just click kwenye avatar ya muhusika utaona option ya message hapo. Basi we anza kutiririka tu, hiyo itakuwa ni private message na ni wewe na yeye ndio mtaiona!
Mimi mdogo wangu wa kike ninavyompenda siwezi kumtafutia madume ng'oo!![emoji24] [emoji24] [emoji24]Binadamu tunaishi tofauti kwanini nione vinginevyo!? wazazi wa kiume uungana na wa kike kuunganisha watoto wao na watoto wa marafiki zao waoane, tofauti ipo wapi na huyu.. mbaba kutaka mwanae wa kike amfunulie nguo mtoto wa rafiki yake. Acha watu waishi wanavyotaka, nawe ishi kivyako. Tena ni bora aone mdogo wake kaolewa kuliko kumletea majangaz, itamuepusha na mengi mbeleni kuna mengi yanaleta haya na hajatuambia na tuheshimu uamuzi wake. Haujaona wanawake wamefika 45 hakuna hata harufu ya mchumba!? Bye
hahahaaaa,,umenfuraahshaa thanaaMie bado nasoma chuo kikuu , uchumba unaruhusiwa mpaka nitakapomaliza chuo?
Ndo ilivo mkuu ushawahi kuona wapi kaka anamtafutia Dada mpenzi,duuuuu,,,,inamana yeye me ndio mtafutaji?
Kweli mkuu kaka lazima awe na wivu kwa dadake mm nakumbuka kipindi nasoma kakaangu alkuwa ananinyang'anya simu Mara kibaoMimi mdogo wangu wa kike ninavyompenda siwezi kumtafutia madume ng'oo!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
I real miss youSio wivu baba paroko
Mimi mdogo wangu wa kike ninavyompenda siwezi kumtafutia madume ng'oo!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Wewe ulitafutiwa?
fact only [emoji106]Acha upuuzi wewe, muda wa nini? Au unataka mwenzio achache kama wewe? Huu ndio muda mwafaka wa kupata mwenza. At 22 is very right, beyond that thamani inaanza kupungua!