Binadamu tunaishi tofauti kwanini nione vinginevyo!? wazazi wa kiume uungana na wa kike kuunganisha watoto wao na watoto wa marafiki zao waoane, tofauti ipo wapi na huyu.. mbaba kutaka mwanae wa kike amfunulie nguo mtoto wa rafiki yake. Acha watu waishi wanavyotaka, nawe ishi kivyako. Tena ni bora aone mdogo wake kaolewa kuliko kumletea majangaz, itamuepusha na mengi mbeleni kuna mengi yanaleta haya na hajatuambia na tuheshimu uamuzi wake. Haujaona wanawake wamefika 45 hakuna hata harufu ya mchumba!? Bye