Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Mkuu!
Me nipo dar na nataka mke na nimeajiliwa sector binafsi, umri wangu miaka 27+.
Kama upo serous njoo PM tatoa contacts zangu na hata picha.
 
Nakuja PM, ila Niko mkoani. Kama yuko seriously, nauli sitatuma Bali akifika kwangu ndipo nitalipa gharama za usafiri kwenda na kurudi.
Take it more than seriously
 
Yaani kumtafutia mdogo wake madume ni kumjali???! Are you serious?? huh?

Binadamu tunaishi tofauti kwanini nione vinginevyo!? wazazi wa kiume uungana na wa kike kuunganisha watoto wao na watoto wa marafiki zao waoane, tofauti ipo wapi na huyu.. mbaba kutaka mwanae wa kike amfunulie nguo mtoto wa rafiki yake. Acha watu waishi wanavyotaka, nawe ishi kivyako. Tena ni bora aone mdogo wake kaolewa kuliko kumletea majangaz, itamuepusha na mengi mbeleni kuna mengi yanaleta haya na hajatuambia na tuheshimu uamuzi wake. Haujaona wanawake wamefika 45 hakuna hata harufu ya mchumba!? Bye
 
Haraka ya nini? 22 still young to explore single life. Akifika 25 bila mtu wa maana leta hii issue hapa.
 
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Kwamba umejipachika kumdalalia dada'ko? Hii mupya kabisa.
 
Binadamu tunaishi tofauti kwanini nione vinginevyo!? wazazi wa kiume uungana na wa kike kuunganisha watoto wao na watoto wa marafiki zao waoane, tofauti ipo wapi na huyu.. mbaba kutaka mwanae wa kike amfunulie nguo mtoto wa rafiki yake. Acha watu waishi wanavyotaka, nawe ishi kivyako. Tena ni bora aone mdogo wake kaolewa kuliko kumletea majangaz, itamuepusha na mengi mbeleni kuna mengi yanaleta haya na hajatuambia na tuheshimu uamuzi wake. Haujaona wanawake wamefika 45 hakuna hata harufu ya mchumba!? Bye
Wewe ulitafutiwa?
 
Just click kwenye avatar ya muhusika utaona option ya message hapo. Basi we anza kutiririka tu, hiyo itakuwa ni private message na ni wewe na yeye ndio mtaiona!
Hasante sana

Mimi mdogo wangu wa kike ninavyompenda siwezi kumtafutia madume ng'oo!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Vip bikra atakua nayo muulize ulete majibu humu.
 
Acha upuuzi wewe, muda wa nini? Au unataka mwenzio achache kama wewe? Huu ndio muda mwafaka wa kupata mwenza. At 22 is very right, beyond that thamani inaanza kupungua!
fact only [emoji106]
 
Back
Top Bottom