Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
 
Nimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?

Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?
Yaani kumtafutia mdogo wake madume ni kumjali???! Are you serious?? huh?
 
Huyo dogo ana uwezo wa kupata mtu muda bado sana...na anauwezo wa kutengeneza maisha yake kwa miaka 5 zaidi tena....

Ni PM ili niwe rafiki yake tu...ila sio wa kima penzi
 
Acheni utani, sisi wengine hatupendi ujinga ujinga jamn
 
Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Comments zako sometimes nashindwa kuelewa sijui huwa zinatoka deep down ur heart au huwa you put comments kufurahisha genge kuwa msaada zaidi kuliko kufurahisha genge, think before you act
 
Hata kama maisha magumu haya yatakuw na visiwa vya sherisheri
 
Back
Top Bottom