Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Miaka 22 unasema bado ana muda??Unataka watoto wa watu wazeeke kama wewe???🙂🙂🙂Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 22 unasema bado ana muda??Unataka watoto wa watu wazeeke kama wewe???🙂🙂🙂Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Yaani kumtafutia mdogo wake madume ni kumjali???! Are you serious?? huh?Nimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?
Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?
Mimi nasubir Yule mdogo wako au vipi sky?Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
awe bi kidudeMuache akue kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Comments zako sometimes nashindwa kuelewa sijui huwa zinatoka deep down ur heart au huwa you put comments kufurahisha genge kuwa msaada zaidi kuliko kufurahisha genge, think before you actMiaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Tiririka hapahapa tu coz hakuna kipya chini ya jua.Niko serious ila tatizo sijui jinsi ya ku pm maana sina ujuzi sana na mitandao
Mtumishi hata wewe!!! Acha wivu banahMuache akue kwanza
MinipoMdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten