Huyu ni mchaga milimpitia ni mnabe sanawewe si uliwahi kukatazwa na mpenzi wako usiende kuswampa ukaja kulialia humu,
hebu pitia hapahttps://www.jamiiforums.com/threads/ubabe-wa-wanaume-katika-mapenzi.1173038/ na bado unaweka masharti ya kumpata mwanaume! endelea kuswampa kwanza.
Kaishaharibu asubiri tu huruma ya wagumba lakini rijal sijui labda awe Mme jina,yaani awe tayari kutawaliwa.
Am serious
Bora afanye uhuni ntajipa moyo lakini asiwe amezaa au kuwa na mimba,ukipata mimba au ukizaa ni dhahiri uhuni ulizid na hayo ndiyo matunda ya uhuni,Mwanamme rijali hawez tunza mimba au Mtoto wa mwenzie hiyo ni aibu katika jamii ya kiafrika labda tu kama itakuwa kimaslahi,hao ambao wamemfuata pm hakuna waoaji hao wazugaji tu wanayao,wanataka wamthaminishe ikiwezekana wale mzigo waache vumbihajaharibu chochote kama unabisha muulize kama hajapata PM za wakaka wanaotaka wakayajenge,wewe una preference zako,sio za wanaume wote,nyie ndio huwa mnakwapua mtu kashafanya uhuni wee ila kwa vile hana mtoto basi mnaoa,what a shame?
Bora afanye uhuni ntajipa moyo lakini asiwe amezaa au kuwa na mimba,ukipata mimba au ukizaa ni dhahiri uhuni ulizid na hayo ndiyo matunda ya uhuni,Mwanamme rijali hawez tunza mimba au Mtoto wa mwenzie hiyo ni aibu katika jamii ya kiafrika labda tu kama itakuwa kimaslahi,hao ambao wamemfuata pm hakuna waoaji hao wazugaji tu wanayao,wanataka wamthaminishe ikiwezekana wale mzigo waache vumbi
Naomba uamin..anayekukataaa machon mwa wengi namoyon mwake hayumohahahahah wanaume wa JF wanachekesha sana,
hapa ukumbini watajidai ooh vigezo vingi utampata nani,sijui nini nini,ila huko PM utashangaa wanavyojipeleka ,kama sio wao vile,lol
Na ndiyo maana nimesema Mwanaume mwenye sifa ya urijali ,hata mnyama Simba hafanyi upuuzi huo kama mnyama anakata hilo itakuwaje? mwanadamu mwenye utimamu ni dhahiri kuna uwalakini na nikathubutu kusema labda kama ni kwa maslahi,yaani kuna kitu anakitafuta kutoka kwa Mwanamke huyo,na kuhusu mim kujua kama ni Baba yangu kwel hilo haulizi ukituona sisi kama ndugu,kama unafahamu familia inayofanana ndiyo siye,yaani kama unatujua na ukamuona ndugu yangu haulizii,sana sana utaulizia wewe ni ndugu yake na 'ilitarakimura' au wewe ni ukoo wa fulani, nasema kitu ambacho kipo na siyo vya kudhahania,na kingine Mama zetu/Bibi zetu wanajua kuwa huyu Mtoto si wako baada ya kuzaliwa na kumtambua mara tu wambebapo kuna vitu wanavichunguza eg vidole,ila wewe kama wewe haujui na utaambiwa ukwel huo,na ndiyo maana huwa tunapenda hao Watu wawepo kipindi cha kujifungua ili kukagua kiumbe kijacho na usaidizi kwa ujumla maana ni muhim au hata shangaz.kuna wanaume rijali wanalea watoto wasio wao,vizuri tu na wako happy kuyachukua hayo majukumu ,nimekuambia kisa wewe ni mwanaume usijichukulie nafasi ya kuwa unawafahamu wanaume wote,moja inaelekea hujui kuwa mimba inaweza kutungwa saa yoyote sio kwamba mpaka mtu 'azidishe uhuni'.......mbili wewe una uhakika huyo unayemuita baba,ni baba yako halisi????????au ni mtu anachukua tu majukumu ya kukulea?????? mwisho hao wanaomfuata PM ni real men,sioni mtu amtafute mwanamke mjamzito ale mzigo tu,hivi wewe uko real?
Na ndiyo maana nimesema Mwanaume mwenye sifa ya urijali ,hata mnyama Simba hafanyi upuuzi huo kama mnyama anakata hilo itakuwaje? mwanadamu mwenye utimamu ni dhahiri kuna uwalakini na nikathubutu kusema labda kama ni kwa maslahi,yaani kuna kitu anakitafuta kutoka kwa Mwanamke huyo,na kuhusu mim kujua kama ni Baba yangu kwel hilo haulizi ukituona sisi kama ndugu,kama unafahamu familia inayofanana ndiyo siye,yaani kama unatujua na ukamuona ndugu yangu haulizii,sana sana utaulizia wewe ni ndugu yake na 'ilitarakimura' au wewe ni ukoo wa fulani, nasema kitu ambacho kipo na siyo vya kudhahania,na kingine Mama zetu/Bibi zetu wanajua kuwa huyu Mtoto si wako baada ya kuzaliwa na kumtambua mara tu wambebapo kuna vitu wanavichunguza eg vidole,ila wewe kama wewe haujui na utaambiwa ukwel huo,na ndiyo maana huwa tunapenda hao Watu wawepo kipindi cha kujifungua ili kukagua kiumbe kijacho na usaidizi kwa ujumla maana ni muhim au hata shangaz.
Ok, let's wait and see!!!Am 26