Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Nakataaa 👎Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.
Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.
Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Sio lazimaNaona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.
Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.
Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Kikubwa ni hapa,ukikerwa wewe wenzio hawakerwiNdoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha.
Sasa nyie hamjapisha umri mnapigwa na jua na kushindia makande!!! Hv mnapata faida gani??? SHIDA ZINAWAFANYA WOTE MUONEKANE WAZEE
Mimi na baby wangu tumepishana miaka 50 ila bata ni kila siku. RAHA ZINATUFANYA WOTE TUONEKANE VIJANA
Perfect comboNaona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.