Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.

Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.

Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Unatakiwa ufahamu kwamba kila mtu ana malengo yake katika ndoa

Malengo yako so sawa na ya mwenzako

Wewe unaweza kuoa mwanamke ili akusaidie biashara, kimawazo, fikra nk

Wakati huo huo Kuna mtu anaoa kwa ajili ya sexy tu, yeye ashajipanga kimaisha Hana mawazo ya pesa ya kula au mafuta ya gari

Mtu Kama huyu akiamua kuoa kabinti (kausha damu) ni sawa tu

Hivyo swala la utofauti mkubwa wa umri sometimes unaweza ukawa na faida au hasara kutokana na malengo
 
Inabidi mkikaa uwe mnakumbushiana kipindi hiko mrema alivyo kosa uraisi kidogo tu,Enzi za popobawa,mahindi ya njano(mahindi ya misaada)......

Raha sana sio mnakosa cha kushare.
Umeona enhee

ww umejiwekea miziki yako ya kiutuuzima mwenzio anazimisha tv/redio anaweka 'mafuta ya taa yamemwagika' ya zuchu.

saa 2 unataka kuangalia serious newz mwenzio hana habari anataka kuangalia umbeya wa kina lokole wa nani kalala na nani
 
Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.

Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.

Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Watakukatalia TU,japo umeongea ukweli
 
Back
Top Bottom