Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Unataka kusema tuiache hii mishangazi never.Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.
Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.
Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Sent using Jamii Forums mobile app