Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Mkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!
Mbona umenikataa baada ya kukuambia mie mzee?🤣
 
Mkipendana hata kama mmoja ana miaka 60 mwingine 20, lazima mtakua na furaha tu. Either mmoja arudi utoto kiakili kumfata wa miaka 20, au wa miaka 20 awe mzee kiakili kumfata wa miaka 60. Mahusiano haya ndo yananogaga sasa. Muhimu upendo wa kweli!!!!!
Hapo nilipobolt ndipo shida inapoanzia, yaani mzee kuact uteenager lazma ataonekana kituko.
 
Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao.

Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina zuchu yani mitazamo yenu kwenye mambo mbalimbali ni sawa na mbingu na ardhi.

Ndoa inatakiwa kuwa ya raha badala ya karaha. Oa mtu ambaye hata kama mmepishana kiumri basi isiwe tofauti kubwa kiviiile.
Tafuta pesa, hata mkipishana miaka 20 itakuwa kama mmepishana miaka miwili tu [emoji1787]
 
Back
Top Bottom