herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
kwa beyonce hatukukosea sanaWatanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
kiupole tu hata mondi hajaelewa anaambiwa niniUmeelewa comment yangu?
Wakenya unawajua vizuri?Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
Mjinga sana.Hajakuelewa (тупой)
Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
Hili sakata la wimbo limewaibua hadi Us embassyUmeelewa bandiko?
Tumeshakujua. We ni Sarah wa mmakondeWewe kazi yako ni ipi ?
Taja kama unayo ?!!!
Kisa eti wkanini Album yake hakushirikisha wasanii wa tanzania wakati title ya jina la album ina reflect tanzania, eti kisa kawashirikisha wasanii wa nigeria na huko west africa in generalHeee. Wametukana kwa Beyonce kisa nini?? 😂😂😂
Sidhani kama kuna watu tunatumia mitandao vibaya kama watanzania, ndiyo maana hata mtu akifanya jambo la kiboya tu utakuta kesho ana followers milioni. Mfno nimekuwa nikitazama wasanii na master w S.A yani hawana followers hata alionao ambaer ruti.Wakenya unawajua vizuri?
Mkuu album ni ya kwake, ana uamuzi wa kumshirikisha atakaye... Mfano unakumbuka ule wimbo wa Michael Jackson na Akon wa Hold my hand, walikubariana utakuwa kwenye album ya Michael Jackson ila mwisho wasiku Michael hakuuweka aliona kama haujakidhi viwango. Sioni hoja ya kumshambulia mtu kisa hajawashirikisha kwenye album, maana yake anaona hujafikia viwango vyake so kaza tukwa beyonce hatukukosea sana
Kisa eti wkanini Album yake hakushirikisha wasanii wa tanzania wakati title ya jina la album ina reflect tanzania, eti kisa kawashirikisha wasanii wa nigeria na huko west africa in general
yani wanatukana sijui m** f**k, wenigne kwa kiswahili, yani nishida.Duh. Tunatia aibu! Sijui wanatokea wp hawa wenye tabia za ajabu mitandaoni, ukiwa maarufu utachafuliwa mpk basi
yani wanatukana sijui m** f**k, wenigne kiswahilishida.
Davido kuna hadi mmoja alimtukania mama yae akashukuru akasema ila mamayake ashafriki muda tu..
We jamaa sijui una shida gani? ningependa nijui malezi uliolelewa unawezekana Kuna shida mahalaWewe kazi yako ni ipi ?
Taja kama unayo ?!!!
Malezi yangu ni ya kutawala misukule kama Diamond anavyowala ninyi.We jamaa sijui una shida gani? ningependa nijui malezi uliolelewa unawezekana Kuna shida mahala
SindanoUna maumivu makali kwerikweri
ukiona hivyo ujue wazazi tunawaabudu zaidi ya hapo!!!Diamond ana mashabiki au misukule ?
How comes mtu unamwabudu hivi msanii kuliko hata wazazi wako ?
Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
Hamjawahi tu kufuatilia mashabiki wa sehemu zingine but trust me, kinachofanywa na mashabiki wa Tanzania wala hakina tofauti sana na mashabiki wa nchi zingine ambao wana passion kweli kweli na celebrities!!WATANZANIA NI MALIMBUKENI WALIHARIBU KWA SAMATTA KWA SABABU YA TABIA ZA KISHENZI KAMA HIZI