Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
WATANZANIA NI MALIMBUKENI WALIHARIBU KWA SAMATTA KWA SABABU YA TABIA ZA KISHENZI KAMA HIZI
Hamjawahi tu kufuatilia mashabiki wa sehemu zingine but trust me, kinachofanywa na mashabiki wa Tanzania wala hakina tofauti sana na mashabiki wa nchi zingine ambao wana passion kweli kweli na celebrities!!
Kwa haraka haraka tu fuatilieni ambacho kilimkuta mwanadada Rachel Roy baada ya Beyonce albamu ya Lemonade!! Kwavile ni tukio la zamani kidogo, hata uki-Google "Lemonade Beyonce Fans + Rachel Roy" I hope mtapata mawili matatu!
What happened?! Kupitia ngoma ya Sorry kuna mistari inayosema:-
He only wants me when I'm not there,
He better calls Becky with the good hair,
He better calls Becky with the good hair,
Hiyo mistari peke yake ikawafanya mashabiki wa Beyonce wasifikirie mara mbili mbili!!
Kama ilivyo kwa mashabiki wa Kibongo, mashabiki wa Beyonce nao wakaenda kumvamia Rachel Roy kwenye social media accounts zake wakiamini Jay Z ana-cheat na Rachel, na Beyonce ndo akatumia hiyo ngoma kuelezea mkasa wa kusalitiwa!!!!
By average, Rachel alikuwa anapata less than 50 comments kwenye posts zake lakini siku ya siku alivuna karibu comments 1000 kutoka kwa mashabiki wa Beyonce waliokuwa wanamshambulia kwa "umalaya" na "kutaka kuvunja the Queen's marriage"!!
Kituko ni pale baadae ilipokuja kugundulika kumbe mlengwa wa Sorry alikuwa Rachel Ray na sio Rachel Roy!!!!