Mume wa Alicia Keys amuomba Diamond kuwatuliza mashabiki wake katika kumshambulia mkewe kwa kumpa sekunde 26 ndani ya wimbo wake

Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
kwa beyonce hatukukosea sana
 
Wakenya unawajua vizuri?
 
Hajakuelewa (тупой)
Mjinga sana.
Sasa kajipachika jina la. Sergei Lavrov na hajui kitu na anajiona mjanjaaa.

Ndio maana nikampotezea. Kumbe umenishtukia. Spasiba maladoi chilaveki.
 
Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.

Heee. Wametukana kwa Beyonce kisa nini?? 😂😂😂
 
Kisa eti wkanini Album yake hakushirikisha wasanii wa tanzania wakati title ya jina la album ina reflect tanzania, eti kisa kawashirikisha wasanii wa nigeria na huko west africa in general
 
kwa beyonce hatukukosea sana
Mkuu album ni ya kwake, ana uamuzi wa kumshirikisha atakaye... Mfano unakumbuka ule wimbo wa Michael Jackson na Akon wa Hold my hand, walikubariana utakuwa kwenye album ya Michael Jackson ila mwisho wasiku Michael hakuuweka aliona kama haujakidhi viwango. Sioni hoja ya kumshambulia mtu kisa hajawashirikisha kwenye album, maana yake anaona hujafikia viwango vyake so kaza tu
 
Kisa eti wkanini Album yake hakushirikisha wasanii wa tanzania wakati title ya jina la album ina reflect tanzania, eti kisa kawashirikisha wasanii wa nigeria na huko west africa in general

Duh. Tunatia aibu! Sijui wanatokea wp hawa wenye tabia za ajabu mitandaoni, ukiwa maarufu utachafuliwa mpk basi
 
yani wanatukana sijui m** f**k, wenigne kwa kiswahili, yani nishida.
Davido kuna hadi mmoja alimtukania mama yake, akashukuru akasema ila mamayake ashafriki muda tu..
 
Una maumivu makali kwerikweri
Sindano
2526103_2522604_Screenshot_20200912-222712.jpeg
 
Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
WATANZANIA NI MALIMBUKENI WALIHARIBU KWA SAMATTA KWA SABABU YA TABIA ZA KISHENZI KAMA HIZI
Hamjawahi tu kufuatilia mashabiki wa sehemu zingine but trust me, kinachofanywa na mashabiki wa Tanzania wala hakina tofauti sana na mashabiki wa nchi zingine ambao wana passion kweli kweli na celebrities!!

Kwa haraka haraka tu fuatilieni ambacho kilimkuta mwanadada Rachel Roy baada ya Beyonce albamu ya Lemonade!! Kwavile ni tukio la zamani kidogo, hata uki-Google "Lemonade Beyonce Fans + Rachel Roy" I hope mtapata mawili matatu!

What happened?! Kupitia ngoma ya Sorry kuna mistari inayosema:-

He only wants me when I'm not there,
He better calls Becky with the good hair,

Hiyo mistari peke yake ikawafanya mashabiki wa Beyonce wasifikirie mara mbili mbili!!

Kama ilivyo kwa mashabiki wa Kibongo, mashabiki wa Beyonce nao wakaenda kumvamia Rachel Roy kwenye social media accounts zake wakiamini Jay Z ana-cheat na Rachel, na Beyonce ndo akatumia hiyo ngoma kuelezea mkasa wa kusalitiwa!!!!

By average, Rachel alikuwa anapata less than 50 comments kwenye posts zake lakini siku ya siku alivuna karibu comments 1000 kutoka kwa mashabiki wa Beyonce waliokuwa wanamshambulia kwa "umalaya" na "kutaka kuvunja the Queen's marriage"!!

Kituko ni pale baadae ilipokuja kugundulika kumbe mlengwa wa Sorry alikuwa Rachel Ray na sio Rachel Roy!!!!
 
Back
Top Bottom