Mume wa Alicia Keys amuomba Diamond kuwatuliza mashabiki wake katika kumshambulia mkewe kwa kumpa sekunde 26 ndani ya wimbo wake

Hata mashabiki wa alikiba walilalamika kwa kukosekana kionjo cha 'yooooo' kwenye wimbo alioshirikishwa na R kelly na R kelly mwenyewe akamuomba kingi awatulize mashabiki wake. Najua wengi hamuijui hii story kwa sababu jamaa hapendi show off.
Maskini hana show off
 
Yes hata mashabiki wa Beyonce wallimshambulia Kelly Hilson na inasemekana ni mwanzo wa Kelly Hilson kupotea. Kuna jambo alisema likatafsiriwa vibaya na mashabiki wa Beyonce, lakini ni ujinga kumshambulia mtu kisa wimbo wak umeimba mistari michache.
Mashabiki wa wenzetu wanawashambuliwa watu kwasababu ya matukio wanayohisi celebrity wao kashambuliwa au kuna mistari kwenye wimbo wanahisi imemlenga star wao. Sasa wewe mtu ukamshambulie mtu kisa hajamshirikisha flani kwenye album yake, au kisa kaimba kidogo wakati wimbo siyo wa kwake.
Eti, fans waende kwenye page ya timu kuulizia mshahara wa mchezaji huo ni ulofa wa kiwango cha standard gauge.
 
reply ya domo haina mashiko yoyote...angejitahidi kuongeza nyama watu wamuelewe
 
Hata mashabiki wa alikiba walilalamika kwa kukosekana kionjo cha 'yooooo' kwenye wimbo alioshirikishwa na R kelly na R kelly mwenyewe akamuomba kingi awatulize mashabiki wake. Najua wengi hamuijui hii story kwa sababu jamaa hapendi show off.
Hahahahahahah asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…