NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Masnitch wa Mondi wanazidi kukonda kwa husda na chuki jinsi Mondi anavyobembelezwa na wakina Swizz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini hana show offHata mashabiki wa alikiba walilalamika kwa kukosekana kionjo cha 'yooooo' kwenye wimbo alioshirikishwa na R kelly na R kelly mwenyewe akamuomba kingi awatulize mashabiki wake. Najua wengi hamuijui hii story kwa sababu jamaa hapendi show off.
Yes hata mashabiki wa Beyonce wallimshambulia Kelly Hilson na inasemekana ni mwanzo wa Kelly Hilson kupotea. Kuna jambo alisema likatafsiriwa vibaya na mashabiki wa Beyonce, lakini ni ujinga kumshambulia mtu kisa wimbo wak umeimba mistari michache.Hamjawahi tu kufuatilia mashabiki wa sehemu zingine but trust me, kinachofanywa na mashabiki wa Tanzania wala hakina tofauti sana na mashabiki wa nchi zingine ambao wana passion kweli kweli na celebrities!!
Kwa haraka haraka tu fuatilieni ambacho kilimkuta mwanadada Rachel Roy baada ya Beyonce albamu ya Lemonade!! Kwavile ni tukio la zamani kidogo, hata uki-Google "Lemonade Beyonce Fans + Rachel Roy" I hope mtapata mawili matatu!
What happened?! Kupitia ngoma ya Sorry kuna mistari inayosema:-
He only wants me when I'm not there,
He better calls Becky with the good hair,
He better calls Becky with the good hair,
Hiyo mistari peke yake ikawafanya mashabiki wa Beyonce wasifikirie mara mbili mbili!!
Kama ilivyo kwa mashabiki wa Kibongo, mashabiki wa Beyonce nao wakaenda kumvamia Rachel Roy kwenye social media accounts zake wakiamini Jay Z ana-cheat na Rachel, na Beyonce ndo akatumia hiyo ngoma kuelezea mkasa wa kusalitiwa!!!!
By average, Rachel alikuwa anapata less than 50 comments kwenye posts zake lakini siku ya siku alivuna karibu comments 1000 kutoka kwa mashabiki wa Beyonce waliokuwa wanamshambulia kwa "umalaya" na "kutaka kuvunja the Queen's marriage"!!
Kituko ni pale baadae ilipokuja kugundulika kumbe mlengwa wa Sorry alikuwa Rachel Ray na sio Rachel Roy!!!!
ni upumbavu kijana kuwa n a fikra kama hizi.Masnitch wa Mondi wanazidi kukonda kwa husda na chuki jinsi Mondi anavyobembelezwa na wakina Swizz.
😀😀😀😀😀Nilijua tu, endelea kukalia
HahahaaaKweli huyu Mondi ni simba. Hadi anaombwa msamaha?
Hahahahahahah aseeHata mashabiki wa alikiba walilalamika kwa kukosekana kionjo cha 'yooooo' kwenye wimbo alioshirikishwa na R kelly na R kelly mwenyewe akamuomba kingi awatulize mashabiki wake. Najua wengi hamuijui hii story kwa sababu jamaa hapendi show off.