Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Bado kidogo utakuja hapa na kusema, Unahitaji mume wa aina yoyote ile, awe Fupi nyundo, Mlevi, Mpagani, Bwege wote sawa tu. Time will tell.
 
Umeshindwa kubalance hadithi. Umeainisha sifa za mwanaume tuu. Za kwako ziko wapi?
 
Mimi nipo Tayari weka picha yako maana unachagua sana na mm nikuone
Najua hy ktk profile sio yako
 
Hii fursa imenipita hivi hivi

Kila la kheri mkuu Allah akujalie ufanikiwe hitaji lako upate kujisitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…