Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,154
- 7,083
Sio bahati yangu
Tuwaachie waislam fursa swala tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaachie waislam fursa swala tano
Angaza macho tu mkuu utapata hapa hapa jukwaaniSawa mkuu
Hahaha..
Asigwa toka uanze kuitangaza hiyo nafasi wazi haijapata mtu wa kuijaza tu au na wewe ni Adunje ?Niko hapa...
Ngoja nichangamkie hiyo fursa maana mimi mara zote huwa ni mtoa msaada kwenye tuta pale mnapokwama.
Kajaribu bahat yko rafikiduuh mimi mlokole na andunje ndo basi tena, Mungu nione na mimi katika jukwaa hili ssishi kubaguliwa
Angaza macho tu mkuu utapata hapa hapa jukwaani
he he heAsigwa toka uanze kuitangaza hiyo nafasi wazi haijapata mtu wa kuijaza tu au na wewe ni Adunje ?
Achana naye mkuu, si unakumbuka ule usemi, kuwa, Mchagua nazi hupata koroma, muache tu huyo kitaeleweka tu.Mie Andunje na usihofu tukitaka kufuta feni tutaweka pipa na kiti juu yake alafu napanda kufuta
Hii fursa imenipita hivi hiviWazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
mdogo wangu ntatolewa nduki!Kajaribu bahat yko rafiki
halafu kweli.Umeshindwa kubalance hadithi. Umeainisha sifa za mwanaume tuu. Za kwako ziko wapi?