Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Ukienda kanisani utapata mume siku ya kwanza
 
Tathimini upia vigezo vyako unamkufuru Mungu kwani havikubaliki unataka mchamungu huku unakufuru Mungu kaumba warefu na wafupi wanene na wembamba weusi weupe na katika kuoa au kuolewa vigezo kwa wachamungu ni Mchamungu, Mali ,Uzuri na familia ya anakotoka mchumba
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nitakuambia kule ukipata wasaa uje
[emoji3] [emoji3] si unajuwaga me sichelew[emoji124] [emoji124]
 
Wakiisha wote njoo, na mimi nikupe masharti yangu, hakikisha usiwe kilaza.
 
Ngoja nijaribu bahati yangu, Baby Anka naomba picha zako pm tafadhali, nataka nione muonekano wa nje, niangalie vigezo vya nje kabla hatujaonana
 
He he pole sanaa aiseee naendelea kukutafutia anayekufaa
ewaaaa unavonipenda kaka ako najua hutakosea kunitafutia nke roho yangu inapenda.

ntakuja pm nikupe vivumishi vya wifiyo.
 
Hapo kwenye uzuri si pamoja na umbo, kimo, rangi? Kama huvutiwi na mfupi sioni kama kuna sehemu utakufuru.
Oeni/ oleweni na wale mnaowapenda.
 
Mwanamke akishasema hana kazi anasubiria kuwezeshwa, nalala nae mbere kwa mbere.u naleta masharti meeengi kumbe tegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…