Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Baby Anka huu ushauri usiufuate. Inawezekana sana tu kuoana bila kuonjana. Simamia msimamo wako wa kutokubali kugawa hadi goti lipigwe.Unajipoteze muda bure. Mwenyezi Mungu kakupa hicho ulichanacho ugawe nawe ugawiwe na kufurahishana. Mwanamme hawezi kukuoa tu kwa kuwa wewe ni mwanamke, inabidi aku-sample kwanza....akiridhika ndipo anatoa uamuzi toka moyoni. Yanini kuoa mwanamke godoro? Yaani mchezo hujuwi kazi kulala tu, hauna maujanja wala nini na una miaka zaidi ya 25. Hatusemi uwe mgawaji kama Wema Sepetu ama mademu wa mjini wasiojitambua, lahasha....unatoa pale unapo ona wakati umefika wa kukunwa si kwa kila anayekuonyesha hela kwani wengine wana magonjwa ya maabukizi tu. Umeshawahi kununua gari bila ku test drive kwanza? Jibu ndilo hilo.....toa upewe.
Baby Anka huu ushauri usiufuate. Inawezekana sana tu kuoana bila kuonjana. Simamia msimamo wako wa kutokubali kugawa hadi goti lipigwe.
haaaaaaa haya wadau Post hiyo.Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
Hehehee vip kaka hufiki kweny feni nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii fursa imenipita hivi hivi
Kila la kheri mkuu Allah akujalie ufanikiwe hitaji lako upate kujisitiri
Kumbe bado unasaka naww heehehehe kajaribu huenda ukapataNgoja nijaribu bahati yangu, Baby Anka naomba picha zako pm tafadhali, nataka nione muonekano wa nje, niangalie vigezo vya nje kabla hatujaonana
HeheheheeIvi sifa ya Andunje inanifaa kweli?
Mlokole wa kimang'a au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh mimi mlokole na andunje ndo basi tena, Mungu nione na mimi katika jukwaa hili ssishi kubaguliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sapoti yako ni muhimu hapa....Hehehehee
Umechoka kuishi kisela?Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
Wanaume wapo ila vigezo vyako sasaEeeh
Mh hii ngumu tatizo wapi sasa ni uandunje au rangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sapoti yako ni muhimu hapa....