Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Kila la kheri Baby Anka
Hongera kwa kuisimamia imani yako.Usikate tamaa, utafanikiwa tuu.
 
Unajipoteze muda bure. Mwenyezi Mungu kakupa hicho ulichanacho ugawe nawe ugawiwe na kufurahishana. Mwanamme hawezi kukuoa tu kwa kuwa wewe ni mwanamke, inabidi aku-sample kwanza....akiridhika ndipo anatoa uamuzi toka moyoni. Yanini kuoa mwanamke godoro? Yaani mchezo hujuwi kazi kulala tu, hauna maujanja wala nini na una miaka zaidi ya 25. Hatusemi uwe mgawaji kama Wema Sepetu ama mademu wa mjini wasiojitambua, lahasha....unatoa pale unapo ona wakati umefika wa kukunwa si kwa kila anayekuonyesha hela kwani wengine wana magonjwa ya maabukizi tu. Umeshawahi kununua gari bila ku test drive kwanza? Jibu ndilo hilo.....toa upewe.
Baby Anka huu ushauri usiufuate. Inawezekana sana tu kuoana bila kuonjana. Simamia msimamo wako wa kutokubali kugawa hadi goti lipigwe.
 
Mungu katupa akili ili tuitumie ipasavyo, then binadamu tumejiwekea dini na kuharibu kila kitu kusingizia Mungu anavyotaka, uwongo mtupu. Mungu has nothing to do with nyege, ikikushika ina maana kwamba tafuta mwenza wa kushiriki naye ili ikutoke, tusipende kusingizia Mungu for vitu visivyo make any sense.
 
Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir

Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid

Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu

Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo

Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)

Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali

Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde

Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%

Karibuni PM mwenye nia tu
haaaaaaa haya wadau Post hiyo.
 
Umenishawishi kwa lugha nzuri uliyotumia na masharti machache.

Mkiristo vipi nije Pm?
 
Wanaume waliooacha kukuoa hawajakosea. Uko too selective wakati wewe ndo mhitaji, utasubiri saaana dada ndo utajua wanaume hawapangiwi!!!,
 
Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir

Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid

Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu

Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo

Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)

Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali

Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde

Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%

Karibuni PM mwenye nia tu
Umechoka kuishi kisela?
 
Back
Top Bottom