Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

Hivi Camila alikukosea nini Swahiba?

Camilla ndio Queen consort, tunasubiri tangazo la kifo cha Queen Elizabeth tu.
Yamebadilika tu baada ya mama kumuona mtoto wake amependa lakini mwanzo ilkua hivyo.
 

Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Taarifa hiyo imetolewa na Kasri la Buckingham

Imeelezwa, Mwanamfalme Philip (Duke of Edinburgh) amefariki asubuhi ya leo Windsor Castle
=====

Prince Philip, Queen Elizabeth II's husband, has died aged 99, Buckingham Palace has announced.

The prince married Princess Elizabeth in 1947, five years before she became Queen, and was the longest-serving royal consort in British history.

The couple had four children, eight grandchildren and 10 great-grandchildren
IMG-20220908-WA0259.jpg
 
Back
Top Bottom